wewe ni kichwa aisee.jibu lako ni scientific aisee.
wewe ni kichwa aisee.jibu lako ni scientific aisee.
Kwa hakika umekubuhu kamanda! Unawajua wenzako mpaka kwa majina na nyakati! Ama kweli jamii yetu imeingiliwa ..Kabla ya Lisu ushoga umekuwepo dunani (kumbuka sodoma na gomora) pia hapa Tanzania (kumbuka akina faruku na kitwana). Leo yupo Amber rutty na delicious. Lumumba mmeng'ang'ania ushoga ushoga Lisu anahusika vipi ? Mbona Dr Maiga hamkumuuliza alipowajubu waźungu.?Ushoga hamuhitaji ila fedha za Wazungu mnazitaka kama siyo upungufu wa nguvu za kiume ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
YapKicking a frog into the river, thinking you are killing it! Long live TL!
View attachment 1002660
Jibu hoja shoga wewe.Kwa hakika umekubuhu kamanda! Unawajua wenzako mpaka kwa majina na nyakati! Ama kweli jamii yetu imeingiliwa ..
Kuna hoja gani hapo ya kujibu Masawe delicious!?
....Lugha gani hiyo mkuu sikuelewi?
Do note urgue with a fool for people might not notice the difference.Kuna hoja gani hapo ya kujibu Masawe delicious!?
Coming from a Village idiot uncircumcised fool this is very classy....Bravo Masawelicious.Do note urgue with a fool for people might not notice the difference.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hermaphrodite, gay,bullshit, excommucated and a skunk.Coming from a Village idiot uncircumcised fool this is very classy....Bravo Masawelicious.
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
----------------
View attachment 1002706
Hahahahaha...that's it!? That's all you have?
Kama hata hujui kuwa masuala kama utu wa binadamu ni global issue utakuwa umepotea kuja kwenye huu uzi!Kwani matatizo yake ni matatizo ya kidunia??
Acheni uzwazwa in Zitto'z voice.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
----------------
View attachment 1002706
Mpimeni kwanza aliyejiita kichaa, lakini haina haja ya kumpima maana maneno na matendo yake yana reflect uhalisia kuwa yeye ni kichaa.siyo vichaa wote wanavua nguo barabarani wengine wanazunguuka tuuuu kuongea maneno yasiyo na maana kwa kufikiri wanamkomoa fulani lazima apimwe akili siyo bure kuna zingine zilidondokea dom
mtakoma ngoja aendellee kuwanyooshaMpimeni kwanza aliyejiita kichaa, lakini haina haja ya kumpima maana maneno na matendo yake yana reflect uhalisia kuwa yeye ni kichaa.
Endelea kujidanganyaLet me tell you one thing which makes you loose.
Leo viongozi wa dini wote walikuwa Ikulu wanampigia chapuo Rais kuwa bado miaka 7.
Nimegundua kweli ninyi mnaolalamikia kuminywa kwa demokrasia mnafanya utukutu wa kisiasa ili kumtoa relini Rais. Amewastukia na kaeleza vzr kwa ufasaha dunia nzima imeona viongozi wa dini wakiitikia kwa vichwa.
Tundu nae alishindwa kutoa evidence kwa Sackur Sasa atakae watetea nyie ni nani?.
La msingi tutakuwa na kampeni za serikali za mitaa soon na next year uchaguzi mkuu sioni wapi mtatokea sbb wazazi wetu kiroho wote wapo na Rais wakimuita majina mbalimbali ya Biblia na Koran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale waliotaka kumuua ndio wazalendo sio? Serikali na Bunge limemtupa bila hata kutoa senti ya matibabu wacha akinukishe tujue mbivu na mbichi...Duh kiukweli mimi binafsi tundu lissu kwasasa simuelewi kabisa kwahayo anayoyafanya naanza kuamini huyu bwana sio mzalendo kweli tena hafai kabisa kwenye Jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
They did not want facts from Tundu Lissu, they have facts, all they wanted is for Lissu to to use that platform to speak to the world about the primitive governance of one of the poorest countries of the world.TL needs to have more facts while responding to the questions of the Journalist, the interview with the BBC Hard Talk was well save few errors.