Nasser salum
Member
- Apr 9, 2017
- 10
- 3
Mnafikiri bila amani nchi hii ingekuwaje?.
Angalieni jirani zetu wa drc.
Ifike mahali muwe na shukrani .
Hebu mniambie mnataka amani ya namna gani?
Kweli alivyofanyiwa lisu si vizuri.
Na kuwahukumu vingozi kwa jambo hilo pia haifai km kuna matatizo tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake.
Lissu atazunguka ulimwengu mzima kujieleza yaliyompata je ulimwengu haujajua km alishambuliwa kwa risasi?.yeye arudi aje achape kazi km afya yake inamruhusu.
Yaliyopita yamepita.
Sent from my 8050D using JamiiForums mobile app