Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 14,255
- 13,550
BASATA wamfungie Lissu!Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
----------------
View attachment 1002706