Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Kunusurika kile kifo ilikuwa ni mkakati wa kiroho... Bila hivyo asingeweza kufika kote huko... Ona mwenyekiti anaozea segerea kama kibaka wakati hajala risasi hata moja... Matendo ya Mungu si ya mwanadamu...

Jr[emoji769]
Lile tukio naona ndio linampa hari na nguvu nyingi za kusimamia haki, ni heri wangejaribu kumnunua kuliko kutaka kukatisha maisha yake kirahi vile...acha arudishe mapigo na yeye.
 
Mnafikiri bila amani nchi hii ingekuwaje?.
Angalieni jirani zetu wa drc.
Ifike mahali muwe na shukrani .
Hebu mniambie mnataka amani ya namna gani?
Kweli alivyofanyiwa lisu si vizuri.
Na kuwahukumu vingozi kwa jambo hilo pia haifai km kuna matatizo tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake.
Lissu atazunguka ulimwengu mzima kujieleza yaliyompata je ulimwengu haujajua km alishambuliwa kwa risasi?.yeye arudi aje achape kazi km afya yake inamruhusu.
Yaliyopita yamepita.

Sent from my 8050D using JamiiForums mobile app
Na waliomcharaza (wasiojulikana) risasi wamepita kwa hiyo wasitafutwe au unataka wafanye jaribio lingine?
 
Lile tukio naona ndio linampa hari na nguvu nyingi za kusimamia haki, ni heri wangejaribu kumnunua kuliko kutaka kukatisha maisha yake kirahi vile...acha arudishe mapigo na yeye.
Heri kumnunua MTU kuliko kumpoteza we uoni mange kimya,malaya wa kisiasa kimya?Ben wangemtupa mbali ubalozi huko kusikojulikana kuliko watakavoanza kushughulikiwa baada ya mbuyu kuondoka kama wasiojulikana wa gwiji wa ndumba yahya jamehei wa Gambia wote wameswekwa ndani wanajibu history Google inatunza history.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aljazira patamu maana wazee wa udakua na ukweli pia. Ila nadhani Lissu anapoteza muda tu nionavyo mimi hatarudi na kitu. Ajifunze na Kwa Morgan mpaka sasa wamesha msahau walimtumia wamepata walichokipata Morgan alibaki Zimbabwe na Zimbabwe yake.
Alishakufa Morgan
 
Let me tell you one thing which makes you loose.

Leo viongozi wa dini wote walikuwa Ikulu wanampigia chapuo Rais kuwa bado miaka 7.

Nimegundua kweli ninyi mnaolalamikia kuminywa kwa demokrasia mnafanya utukutu wa kisiasa ili kumtoa relini Rais. Amewastukia na kaeleza vzr kwa ufasaha dunia nzima imeona viongozi wa dini wakiitikia kwa vichwa.

Tundu nae alishindwa kutoa evidence kwa Sackur Sasa atakae watetea nyie ni nani?.

La msingi tutakuwa na kampeni za serikali za mitaa soon na next year uchaguzi mkuu sioni wapi mtatokea sbb wazazi wetu kiroho wote wapo na Rais wakimuita majina mbalimbali ya Biblia na Koran.

Alitoa evidence kwa ushahidi wa kimaingira unaonyesha uhusika wa serikali kama vile: matukio kabla ya kushambuliwa alitoa taarifa ya kufuatiliwa na TISS, pili alieleza kukataaliwa kwa uchunguzi huru tatu alisema kuna viongozi wa juu wa CCM walitoa wito hadharani kuwa auwawe na baada ya muda akapigwa risasi hakuna katika hao aliyeitwa kuhojiwa. Halafu wewe ndugu yangu unasema ati hapo sio jaribio la mauaji ya kisiasa kweli unajitoa ufahamu kiasi hicho sikulaumu hiyo ndio akili ya ki CCM kwamba ukiwa kada basi asilimia fulani za akili huwa zinapotea. Pia alisema wazi kuwa JIWE ALIUZIA MATIBABU YAKE KULIPIWA NA BUNGE. Hapo hajaongelea issue ya Kalemani kutoa CCTV .Kifupi wewe ni MPUMBAVU NA MUUAJI.

Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru

----------------
View attachment 1002706
hizo ni kelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom