Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru

----------------
View attachment 1002706
Mswahili mwenye simple mind ambaye haijui Marekani anadhani kuna Mmarekani anaweza ku-tune Tv kumsikiliza mswahili anaongea. Hii inauma lakini ni pure fact, Wamarekani hawako hivyo.Typical Mmarekani hawezi kukaa hata kumsikiliza Waziri Mkuu wa Uingereza kwenye Tv yao. Kama walengwa nini sisi Wamatumbi, bora tuongelee huku.
 
Hvi umeona kipindi cha hard talk kimeangaliwa na watu wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mijitu ya ccm ina roho ngumu sana.mtu mmepiga risasai zaidi ya kumi na tano kwa lengo la kutaka kumuua halafu bado mnakuja hapa mnaongea upumbavu kwa sababu tu bado ana uhai wa kuwasema. Kweli TL amewaweza huu ni Mpango wa Mungu
 
Mswahili mwenye simple mind ambaye haijui Marekani anadhani kuna Mmarekani anaweza ku-tune Tv kumsikiliza mswahili anaongea. Hii inauma lakini ni pure fact, Wamarekani hawako hivyo.Typical Mmarekani hawezi kukaa hata kumsikiliza Waziri Mkuu wa Uingereza kwenye Tv yao. Kama walengwa nini sisi Wamatumbi, bora tuongelee huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona yanakugonga kunako chupi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Tulia sindano ikuingie.Akishaongea huko tena,tutawasikia tu oooh mara amebanwa na mwandishi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CNN na Aljazillah ndio nani na wana impact gani kwa nchi vitu vingine ni vituko vya karne hatulie harudi jimboni kwake hapo ndio nitamwelewa
Wale wote wanasema arudi nina shaka kama hawakuwepo Dodoma siku ile basi walishiriki indirect katika mpango ule.
Kwa kuwa ile project ilishindikana isitegemewe nafasi nyingine, mpaka pale wasiojulikana na waliowatuma watakapobainika basi hakuna anayemtakia mema kwa dhati atataka Lissu arudi.
 
Back
Top Bottom