Ea Marekani au Uingereza?Lumumba hawaelewi huyu ndie Raisi ajae!
Imeandikwa hiviSi ndie aliyeongoza yale maaangamizi risasi kwa TL. Yeye anadhani watu hawajui, hadi picha zipo. Siku ya Siku kila kitu kitakuwa hadharani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mseven anajua kula na mabeberu ...huyu wenu anajitia ukichaa ngoja atachapika tu...Robert Kyagulanyi Ssentamu aka Bobi Wine alitangulia kupita huko.....Ni nini kilitokea kwa Uganda/Museveni!? Mabeberu sio watu wazuri, mpaka makamanda mnakubali USHOGA!
Huna akili wewe, unaijua laana. Mambo aliongea jiwe wakati anapokea ile rabish report ya madini. Akasema hata jeshini, mtu akionekana yuko kinyume hukumu yake inajulikana. Dk 45 baadae Jiwe na watu wake wanammiminia risasi My TL.Imeandikwa hivi
Usiseme uongo
Sasa ndugu yangu ulikuwepo? Jitahidi kuogea yenye uhakika ili usipate laana katika maisha yako
Endeleeni kujidanganya.Mseven anajua kula na mabeberu ...huyu wenu anajitia ukichaa ngoja atachapika tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi ona faida yake! Ubongo umejaa fungoSijaelewa,faida yake.maana yanayoendelea yanaonekana kwa macho.
Kuna kitu unapaswa kujifunza kama umeandika haya kwa dhati ya moyo wako.
Umewahi kujiuliza ni kwa nini mmekuwa mkimuita Rais dikteta lkn kundi lingine lenye influence ktk jamii likimuita mkombozi?
Na hata viongozi wengine serikalini mfano Mawaziri,RCs, DCs etc mmekuwa mkiwaita wajinga vilaza na kila jina baya lkn ndio wanaowaongoza?
Kama ni wajinga ilikuwaje wapate hizo nafasi ilhali nyie werevu mpo?
Kama utaweza kunijibu haya kwa ufasaha bila kuleta ushabiki, sifa, mihemko, au ulevi nitaheshimu sana michango yako hapa jukwaani.
Angalizo majibu yako yasiwe chanzo cha maswali hasi juu yako tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
alikufa 2016 lakini aliachwa kwenye mataaMfano sahihi lakini Morgan alifariki mwanzoni mwa 2018 if am not wrong.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikishajua?Dunia inaendelea kujua uovu ulio ndani ya nchi hii inayoitwa kisiwa cha amani
Mkuu walahi! Na wewe umebadili gia hewani??😃😃😃Walahi asiache jiwe juu ya jiwe walahi maana wauwaji akina Bashite washaanza kujishtukia walahi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't you think it will kill the rest us?Dunia inaendelea kujua uovu ulio ndani ya nchi hii inayoitwa kisiwa cha amani
Mtasababisha sasa kiitishwe kikao baina ya Mzee Meko na wachawi, maana kikao chake na makuhani itaonekana hakijasaidiaMhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
----------------
View attachment 1002706
"Mara nyingi kichaa huwaona wasio vichaa ni vichaa"siyo vichaa wote wanavua nguo barabarani wengine wanazunguuka tuuuu kuongea maneno yasiyo na maana kwa kufikiri wanamkomoa fulani lazima apimwe akili siyo bure kuna zingine zilidondokea dom
Jamaa anatumia nguvu nyingi kuepuka mlolongo wa kesi zinazomsubiri. Anafikiri akifanya mahojiano na hivyo vyombo ndio atachomoka. Ha ha ha. Wangapi wamehojiwa na CNN na Al Jazeera? Swala sio kuhojiwa. Swala ni matokeo ya hayo mahojiano. Kama anafikiri alifanikiwa BBC basi inabidi ajipime.Ikishajua?
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu