Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Hii mijitu ya ccm ina roho ngumu sana.mtu mmepiga risasai zaidi ya kumi na tano kwa lengo la kutaka kumuua halafu bado mnakuja hapa mnaongea upumbavu kwa sababu tu bado ana uhai wa kuwasema. Kweli TL amewaweza huu ni Mpango wa Mungu
Unataka kulazimisha watu wote wampende kwasababu alipigwa risasi? Am I missing something here?
Tutaona unadhani kuna watu hawafatilii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri. Waache kuangalia Goverment shutdown inavyowakamua na siasa za ukuta wa Trump na Mexico, watuangalie sisi? Tunajidanganya sana.
 
Unataka kulazimisha watu wote wampende kwasababu alipigwa risasi? Am I missing something here?

Kila la heri. Waache kuangalia Goverment shutdown inavyowakamua na siasa za ukuta wa Trump na Mexico, watuangalie sisi? Tunajidanganya sana.
Siyo kila mmarekani yupo interested na government shutdown. Halafu sijakulazimisha umpende TL.
 
Ninyi viumbe mnasikitisha sana.Eti aache umimi!?Wakati anavurumishiwa marisaa kuna mmoja kati yenu aliye muonea huruma?Yeye anawachapa kwa hoja na maneno mnafura kama furukobe wajawazito!Tulieni.Mbona yeye alivyokuwa anarushiwa marsaa alitulia kwa kujilaza garini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
watulie mkonga uingie woote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.

Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira

Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine

Mwanahabari Huru

----------------
View attachment 1002706
Huyu jamaa naona kama kuna kitu anakitaka lakini hatakipata. Angefanya analysis kwanza, baada ya kufanya mazungumzo ya hardtalk kitu gani kimebadilika? Je hao watu waliotaka waione serikali mbaya je imekuwa hivyo? Ataenda cnn na aljazeera alafu na huko wakipuuza kama walivyompuuza baada ya hardtalk atafanyaje? Akimaliza matibabu yake atataka kurudi nyumbani huku akiomba serikali imlinde je serikali ya nani inaweza kumlinda kwa kuichafua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changudoa la wabelgiji linaendelea kujianika huko nje. Hakika ni aibu sana. Sijui ni utumbo gani atauanika huko CNN na Aljazeera tena. Yasije kumtokea kama yale ya Hardtalk maana waandishi wote wameshamuona kama ni kanjanja tu ninti la mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom