Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
CNN na Aljazillah ndio nani na wana impact gani kwa nchi vitu vingine ni vituko vya karne hatulie harudi jimboni kwake hapo ndio nitamwelewa
hivi kwa akili yako unafikiri anachokifanya kinamuathiri nani labda wala hakuna mtu anashtuka aendeleeeee akichoka atarudi watu wanaendelea na kazi zaoNext stop CNN,uliza kama kuna kichaa ashawahi kukanyaga huko!Jiwe kabanwa pabaya!!!!Hahahahaaaaa!
Join date january 3 2019 , karibu sana mjiombaubora upi alionao sasa kama si ukichaa tu
Nenda zako huko, kawadanganye unaowapa ugali.ningekuwa najua wangeshakamatwa hakuna awajuae waache vyombo vya dola viwatafute watapatikana tu
hata wewe naweza kukupa ugali bado subirini watakamatwatu
We hujaona kikao cha kisekta madini kinageuka kikao cha kumnanga???Ukiona hivyo ujue jiwe limempata mtu!hivi kwa akili yako unafikiri anachokifanya kinamuathiri nani labda wala hakuna mtu anashtuka aendeleeeee akichoka atarudi watu wanaendelea na kazi zao
Kuna kitu unapaswa kujifunza kama umeandika haya kwa dhati ya moyo wako.Tatizo hao ni WANAFIKI na DHAIFU an ndiyo matatizo ya Watanzania wengi kutokuwa wakweli mbele ya muhusika lakini wanalalamika pembeni.
Nchi hii ina matatizo makubwa sana na chanzo ni huyo dikteta kudhani yeye ni Mungu mtu anaweza kufanya vyovyoye atakavyo hata si kwa maslahi ya nchi na hastahili kukosolewa.
Kichaa hana sifa ya kuongoza chochote kile mahali popote pale.
Wako wamgapi?Let me tell you one thing which makes you loose.
Leo viongozi wa dini wote walikuwa Ikulu wanampigia chapuo Rais kuwa bado miaka 7.
Nimegundua kweli ninyi mnaolalamikia kuminywa kwa demokrasia mnafanya utukutu wa kisiasa ili kumtoa relini Rais. Amewastukia na kaeleza vzr kwa ufasaha dunia nzima imeona viongozi wa dini wakiitikia kwa vichwa.
Tundu nae alishindwa kutoa evidence kwa Sackur Sasa atakae watetea nyie ni nani?.
La msingi tutakuwa na kampeni za serikali za mitaa soon na next year uchaguzi mkuu sioni wapi mtatokea sbb wazazi wetu kiroho wote wapo na Rais wakimuita majina mbalimbali ya Biblia na Koran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh tehMtu mpaka Taifa limtambue kuwa ni mhaini ni mpaka afanye kosa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
yamaana yalikuwa yameshaongelewa hizo zilikuwa story tu mnateseka sanaaaaWe hujaona kikao cha kisekta madini kinageuka kikao cha kumnanga???Ukiona hivyo ujue jiwe limempata mtu!
Nitkuambia kwa muhtasari:Nchi zao hutupatia kondomu,ARVs na huchangia bajeti za maendeleo kwa zaidi ya asilimia 55.Umepata picha?Kwa hiyo mbwa wa mfalme umuheshimu(Aljazeera muweke kando.kidogo ingwa Arabs hutoa misaada).CNN na Aljazillah ndio nani na wana impact gani kwa nchi vitu vingine ni vituko vya karne hatulie harudi jimboni kwake hapo ndio nitamwelewa
Mpaka umechapia pole sana kwa mapovu !!siyo huyo unaesema wewe nihuyo tobo anaezunguka kwenuye nchi za watu
nimechemka nini sasa??Mpaka umechapia pole sana kwa mapovu !!
Hahaha Rais wa Wazungu sio wa Watz, Nani anataka kuliwa Tundulisu hapa TZ?Lumumba hawaelewi huyu ndie Raisi ajae!
Si ndie aliyeongoza yale maaangamizi risasi kwa TL. Yeye anadhani watu hawajui, hadi picha zipo. Siku ya Siku kila kitu kitakuwa hadharani.sasa hiyo itamsaidia nini?
Magufuri anaendelea kupiga kazi, ndo kwanza leo ameteta na viongozi wa dini
ushauri wa makonda ni muhimu, ni vizuri aanzie Milembe kwanza, Inawezekana akili yake imehama!
Ya maana yapi?Mtu anaitwa kusalimia na kutoa salamu za mkoa,anageuza salamu hizo mbele ya Rais kumnanga Lissu,wenye akili tukajua jiwe limempata mtu!yamaana yalikuwa yameshaongelewa hizo zilikuwa story tu mnateseka sanaaaa
Anazidi kujimaliza tu.Mhe. Tundu Antipas Mugwai Lissu amesema Move ya pili itakua ni CNN na Aljazira kwa Maongezi zaidi maana amepata mwaliko kwenye vituo vya luninga zaidi ya 22 mpaka sasa hivi.
Kituo kinachofuata kufanya maongezi nacho ni CNN na Baadae ni Aljazira
Tutaendelea kuwahabarisha tarehe na mda na hivyo vituo vingine
Mwanahabari Huru
----------------
View attachment 1002706