Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 7,020
- 5,563
Congo penyewe kura wamepiga Wacongoman na wamefukuza AU, EU wote waliotaka kuingilia mamlaka ya nchi yao.Wanampika kwa kiti tumekosa wawakilishi kimataifa wakimkubali wao huku ni uswano tu
Kama Serikali inajiamini kwanini isiombe interview ili kukaunta aliyosema Lissu ili wammalize Lissu kama hawawezi basi wakae kimya wamuache Lissu afanye afanyacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu ni tunu ya taifa ukikataa wewe ni mchawiCongo penyewe kura wamepiga Wacongoman na wamefukuza AU, EU wote waliotaka kuingilia mamlaka ya nchi yao.
Achana kabisa na kitu inaitwa "SOUVERAINITY OF THE STATE."
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anaweweseka?Lakin mbona mnaweweseka sana juu yake?
Akijimaliza si ndio faida kwenu na kujichekea kwa furaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yenu akina nani hao?Kesi kila siku ndio njia yenu...
Upuuzi mtupu.
Ahaha!,wanajutaa kumsukumizia mtoniKicking a frog to the river, thinking you are killing it! Long live TL!
View attachment 1002660
ningekuwa najua wangeshakamatwa hakuna awajuae waache vyombo vya dola viwatafute watapatikana tu
Nisaidie viongozi wakubwa wa dini ambao hawajahudhuria.Hata hivyo vikao vya JPM, inaonekana kuna mgomo wa chini kwa chini.
Viongozi wale wakuu wa taasisi za dini, hawakuhudhuria. Waliohudhuria, wengi ni wa taasisi ndogo ndogo za kidini au viongozi wadogo wa kidini kutoka taasisi kubwa za dini. Imeshangaza sana.
Kwenye wadau wa madini, wachimbaji wakubwa hawakuhudhuria. Wengi waliohudhuria ni wale wachimbaji wa kuchokonoa kwa sululu.
Baada ya hao, sijui atawaalika nani - labda akina Lyatonga, Cheyo, and the like, halafu itatangazwa amekutana na viongozi wa vyama vya siasa.
Sioni kama kuna mafanikio yaliyotarahiwa katika mikutano hii. Yetu macho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigumu!Kidumu chama cha mapinduzi... Maendeleo Oyeeeee...
Mkuu usichukie sana, justice haina chama kama ambavyo mnasema maendeleo hayana chama.Pigeni porojo zenu sisi tufanyaka kazi ya kutekeleza Ilani ya Ccm kwa maisha bora ya Watanzania! Pumbavu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akitiririka km mto ruvu ataishia hayohayo na kutegemea kitu nje ya hapo ni sawa na kufuga mbwa kwa kutegemea makombo ya jirani.Simlisema kule bbc hardtalk hajatililika vzur, amesikia maoni yenu. Anaenda sasa CNN kuweka sawa
Okey basi wamueche Lissu aendelee na mahojiano kwasababu hatakuwa na mazara kama tulivyoona kwa Boby Wine.Tupeni feedback ya Bobby Wine, kafaidika nini au Ug imefaidika nini na kuhojiwa ma aljazeera?
Unajidanganya utasubiria sana una mawazo ya kufuga mbwa kwa kutegemea makombo ya jirani. Hayo mahojiano yataisha hivyohivyo tu.Mtanyooka mwaka huu lazima mjutie kitendo chenu cha kinyama
In God we Trust