Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,697
- 3,413
Na mimi nakuhurumia pia.
Hakika [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tatizo hao ni WANAFIKI na DHAIFU na ndiyo matatizo ya Watanzania wengi kutokuwa wakweli mbele ya muhusika lakini wanalalamika pembeni.
Nchi hii ina matatizo makubwa sana na chanzo ni huyo dikteta kudhani yeye ni Mungu mtu anaweza kufanya vyovyoye atakavyo hata si kwa maslahi ya nchi na hastahili kukosolewa.
Kichaa hana sifa ya kuongoza chochote kile mahali popote pale.
Masikini ya Mungu.
Sasa tulieni acheni kumtolea matamko kama mmechanganyikiwa.Hatuna mkataba na hao waliojipendekeza kumtibu ikiwa walifanya hivyo kwa kuingia mkataba na TL ili awafanyie anachofanya sasa yeye aendelee tu hata km ni kuzunguka dunia nzima, hata km atabakia hukohuko km rehani abakie tu huku maisha yataendelea km kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yawezekana wewe ni Le mutuz au Polepole kama sio choko Bashite [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio ujue mnatuletea post za kitoto humu.
By the way ya BBC HARD TALK tunajua aliiomba lkn matokeo yake yamekuwa si rafiki kwake.
Huruma sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka kumrudisha mama yako hapo home. Muulize mie Nan?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yawezekana wewe ni Le mutuz au Polepole kama sio choko Bashite [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusanya,choko Bashite, Polepole na mfalme Juha pamoja,bado akili zao hazimfikii hata nusu Tundu Lissu.Usisahau na wewe mwenyewe mtelekeza familia Lemutuz.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kichaa hawezi kukaa ikulu kichaa ni mtu anaezurura hovyo bila kujua anapata faida gani huyo ndiye kichaa yule zilidondoka baadhi pale dom aende milembe
Huruma kwa kiumbe hiki.
Labda kwa msaada wa NATO kwa kura badooLumumba hawaelewi huyu ndie Raisi ajae!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humuwezi my mama wewe.Labda akutafutie wa kukuchezea huko nyuma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi wameona polepole ataongea hiki,makonda ataropoka kile [emoji23][emoji23] wanateseka sanaSUBIRI MATAMKO SASA!!!!
kifufue kama ulivyomfufua lazaro kutoka umautiHuruma kwa kiumbe hiki.
kifufue kama ulivyomfufua lazaro kutoka umauti
Washukuriwe polisi na Tume yenu uchwara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sasa hivi wameona polepole ataongea hiki,makonda ataropoka kile [emoji23][emoji23] wanateseka sana
Sent using Jamii Forums mobile app