MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,856
- 5,561
Huyo hana lolote humo kichwani zaid ya matusi dhidi ya JpmKuna kitu unapaswa kujifunza kama umeandika haya kwa dhati ya moyo wako.
Umewahi kujiuliza ni kwa nini mmekuwa mkimuita Rais dikteta lkn kundi lingine lenye influence ktk jamii likimuita mkombozi?
Na hata viongozi wengine serikalini mfano Mawaziri,RCs, DCs etc mmekuwa mkiwaita wajinga vilaza na kila jina baya lkn ndio wanaowaongoza?
Kama ni wajinga ilikuwaje wapate hizo nafasi ilhali nyie werevu mpo?
Kama utaweza kunijibu haya kwa ufasaha bila kuleta ushabiki, sifa, mihemko, au ulevi nitaheshimu sana michango yako hapa jukwaani.
Angalizo majibu yako yasiwe chanzo cha maswali hasi juu yako tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu