Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

Aljazira patamu maana wazee wa udakua na ukweli pia. Ila nadhani Lissu anapoteza muda tu nionavyo mimi hatarudi na kitu. Ajifunze na Kwa Morgan mpaka sasa wamesha msahau walimtumia wamepata walichokipata Morgan alibaki Zimbabwe na Zimbabwe yake.
Tusiishi kwa ramli. Tuseme tu ukweli kuwa, Afrika ina tatizo kubwa la uongozi. Tunawasingizia wazungu kwa makosa yetu.

Nchi chache za Afrika ndiyo zenye viongozi wanaostahili kuitwa viongozi.

Nchi zilizobahatika kuwa na mfumo mzuri wa uongozi ni kama Botswana, Ghana na South Afrika. Na kwa sasa, imeongezeka Kenya. Na hizi nchi zote, zinapiga hatua za maendeleo kwa kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa sana linaloikabili Tanzania ni udikteta , tukikomesha hili tutakuwa salama , udikteta ndio unaosababisha watu kutekwa na kupotea na wengine kumiminiwa risasi , udikteta ndio unaondoa haki zote za msingi
Changanya na siasa mbaya za viongozi wa chama tawala na upinzani. Tusidanganywe na mapenzi ya moyo, tutumie akili.

Tz has super few ripen,asture and truly nationalistic politician .

Very unfortunate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sio mwanachama wa chama chochote
but
actually i like tha man !
1-moyo wake hutetema mnyonge anapoonewa, kawashindia kesi zaidi ya 450 wanyonge wa nchi hii bila malipo..
2-amepigwa risasi kwa kumpinga kwake huyu pet dictator, aliona mbali ni wengi wataumizwa "akimaliza kwetu atakuja kwenu"
3-confident- zile risasi ungemiminiwa wewe ukapona, muda huu ungekuwa mzee wa kanisa !
4-ana akili nyingi hadi raha !
5- anapenda haki
6-anauishi usomi- ready to be criticised and respond logically
7-hana tamaa ya uongozi, ni mpaka mumpendekeze wenyewe !
8-the hero !
9-logical
10-influential

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweli kabisa mkuu kama tunataka maendeleo inatubidi kuwaiga jirani zetu Kenya
Tusiishi kwa ramli. Tuseme tu ukweli kuwa, Afrika ina tatizo kubwa la uongozi. Tunawasingizia wazungu kwa makosa yetu.

Nchi chache za Afrika ndiyo zenye viongozi wanaostahili kuitwa viongozi.

Nchi zilizobahatika kuwa na mfumo mzuri wa uongozi ni kama Botswana, Ghana na South Afrika. Na kwa sasa, imeongezeka Kenya. Na hizi nchi zote, zinapiga hatua za maendeleo kwa kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Let me tell you one thing which makes you loose.

Leo viongozi wa dini wote walikuwa Ikulu wanampigia chapuo Rais kuwa bado miaka 7.

Nimegundua kweli ninyi mnaolalamikia kuminywa kwa demokrasia mnafanya utukutu wa kisiasa ili kumtoa relini Rais. Amewastukia na kaeleza vzr kwa ufasaha dunia nzima imeona viongozi wa dini wakiitikia kwa vichwa.

Tundu nae alishindwa kutoa evidence kwa Sackur Sasa atakae watetea nyie ni nani?.

La msingi tutakuwa na kampeni za serikali za mitaa soon na next year uchaguzi mkuu sioni wapi mtatokea sbb wazazi wetu kiroho wote wapo na Rais wakimuita majina mbalimbali ya Biblia na Koran.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi katika lile kundi, ni nani hasa unaweza kusema ni viongozi wa taasisi za dini? Wengi waliokuwepo pale walikuwa ni waganga njaa. Wengine hata majina yao huko kwenye taasisi walizosema wanawakilisha, wanashangaa maana hawawajui.

Tukio hilo la leo kutokana na watu waliohudhuria, halitakuwa na uzito wowote katika Dunia.

JPM atasafisha jina lake kwa kuanza kufanyia kazi mapungufu yake kuliko vikao vyake na vikundi mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sio mwanachama wa chama chochote
but
actually i like tha man !
1-moyo wake hutetema mnyonge anapoonewa, kawashindia kesi zaidi ya 450 wanyonge wa nchi hii..
2-amepigwa risasi kwa kumpinga kwake huyu pet dictator, aliona mbali ni wengi wataumizwa "akimaliza kwetu atakuja kwenu"
3-confident- zile risasi ungemiminiwa wewe ukapona, muda huu ungekuwa mzee wa kanisa !
4-ana akili nyingi hadi raha !
5- anapenda haki
6-anauishi usomi- ready to be criticised and respond logically
7-hana tamaa ya uongozi, ni mpaka mumpendekeze wenyewe !
8-the hero !
9-logical

Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu ni chaguo la mungu

In God we Trust
 
Watafuta fursa tu
Hivi katika lile kundi, ni nani hasa unaweza kusema ni viongozi wa taasisi za dini? Wengi waliokuwepo pale walikuwa ni waganga njaa. Wengine hata majina yao huko kwenye taasisi walizosema wanawakilisha, wanashangaa maana hawawajui.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Jiwe atakuwa amenuna vibaya sana na uwezo wa kuzuia hivyo vyombo vya habari hana
Simlisema kule bbc hardtalk hajatililika vzur, amesikia maoni yenu. Anaenda sasa CNN kuweka sawa

In God we Trust
 
Sasa hivi wanatafuta pa kutokea au anatafuta madodoki lkn watanzania washamstukia
Hata hivyo vikao vya JPM, inaonekana kuna mgomo wa chini kwa chini.

Viongozi wale wakuu wa taasisi za dini, hawakuhudhuria. Waliohudhuria, wengi ni wa taasisi ndogo ndogo za kidini au viongozi wadogo wa kidini kutoka taasisi kubwa za dini. Imeshangaza sana.

Kwenye wadau wa madini, wachimbaji wakubwa hawakuhudhuria. Wengi waliohudhuria ni wale wachimbaji wa kuchokonoa kwa sululu.

Baada ya hao, sijui atawaalika nani - labda akina Lyatonga, Cheyo, and the like, halafu itatangazwa amekutana na viongozi wa vyama vya siasa.

Sioni kama kuna mafanikio yaliyotarahiwa katika mikutano hii. Yetu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Back
Top Bottom