Heshima ya Mbunge ni Hoja
Unataka awe smart kwa suti za kuhongwa na wawekezaji kama ilivyotokea kwa mkuu wa nchi kama ilivyoripotiwa na Wikileaks?
Aliishia kuuza nchi kwa gharama ya suti.Ana tofauti gani na chifu Mangungo aliyeuza ardhi kwa Carl Peters na yeye kupewa Shanga?Afadhali Mangungo anaweza kujitetea kuwa hakua na formal education na exposure ya kutosha.Lakini Rais wa nchi wa karne hii!Gimme a break ! ! !
Anyways,Sijui Mangula na Bahama yake na Swagger za raba za Bazouk Chini alipohudhuria pale Ikulu unamuweka wapi kwa fikra zako hizi.?
Nashangaa Paw kaiacha iendelee kushusha hadhi ya JF.
Suti aliyovaa tindu lissu iko sawa,dada yetu ukae ukijua suti zote zinazovaliwa sio lazima nibane kwendana na mwili.hujawai kuona suti ndefu karibia inafika magotini,badilika wewe mdada
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.
Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.
Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.
Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.
Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
mwambie amgawie moja kati ya zile 5
Mkuu unanidai bia tatu na mchemsho wa sato..
FaizaFoxy you are smarter than this, get matured.
alivaa kama huyu wa pili kutoka kulia?
![]()
angalia hoja usiangalie koti, mbona kina john komba wanavaa suti kali lakini hakuna kitu?
Yaani nilikuwa namuhusudu huyu dada kwa hoja ila nadhani kuna mtu huwa abatumia ID ya Faiza Foz, Faiza Fox niliyemjua hakuwa hamnazo kiasi hicho cha kufikia hatua ya kutoa hoja kuhusu uzuri na thamani ya mavazi ya Wabunge, tena kwenye Jukwaa la Siasa!
lisu mchafu sana hata mshwaki apigi
Ha ha ha SIX MENO NDANI YA IKULU!unanikumbusha zile enzi za njumu za akina romario,bebeto ukivaa zile hata kama hujui kutuliza ball namba tisa yako, mbavu zangu kule!!!!