weka picha ya aliyekwenda ikulu na sixmeno !
Jina jingine zinaitwa njumu...!
weka picha ya aliyekwenda ikulu na sixmeno !
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni.
Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga kama alivyovaa Tundu asiruhusiwe kuingia mjengoni.
Hivi huyu kashindwa kujifunza kwa Rais wake. JDr. Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete au kutoka kwa Mbowe ambae ingawa ni mbumbumbu lakini at least kuvaa anajuwa akiamua. Au kutoka kwa Zitto Kabwe.
Huyu itakuwa "mentor" wake wa mavazi ni Dr.W.Slaa kwani niliona picha zake alizotundika humu JF alipokuwa USA, alivaa mkoti mkubwa kama aliouvaa leo Tundu.
Au ndio ntungulie za mtumbani hizo?
FaizaFoxy you are smarter than this, get matured.

wazawa gani?Tundu lisu ni janga sugu la wazawa.

Unataka akuchumbie faiza Foxy acha kuwa mmbea Tundu Lisu yuko nadhifu...
Ha ha ha SIX MENO NDANI YA IKULU!unanikumbusha zile enzi za njumu za akina romario,bebeto ukivaa zile hata kama hujui kutuliza ball namba tisa yako, mbavu zangu kule!!!!Ungeanza na makamu wenu Mangula aliyekwenda mahali "patakatifu" yani ikulu na six meno za kuchezea Beach ball.Tundu Lissu ni sumu kwa magamba.
Buku 7 mna matatizo kweli...badala ya kujadili mijadala inayoendelea bungeni mnajadili mavazi...Tundu lisu ni janga sugu la wazawa.