Kichumi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 588
- 515
Hawa MATAGA walidhani kila aliyekuwa akimkosoa Magua alikuwa ana issue naye binafsi. Magu alikuwa kiongozi mkandamizaji sana na mbaguzi hilo lipo waziMimi nilisimamia ukweli bila kupotezwa na propaganda mfu za awamu ya Magu. Na kama huyu mama ataamua kweli kusimamia ukweli bila kuchengesha, utajua misimamo yetu dhabiti dhidi ya utawala katili uliopita, tulikuwa sahihi kwenye mambo mengi. Tunaposema Mungu ameamua kufanya mabadiliko ya kweli bila kumwaga damu hatukosei.