Tundu Lissu ameishiwa hoja apuuzwe yeye na Hayati Magufuli tu hajui kinachoendelea awamu ya sita

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Nimemsikiliza mara nyingi bwana Tundu Lissu kwa sasa hana hoja amebaki anatukana mtu ambaye tayari hatunaye, suala la bandari huenda ilikuwa kiini macho cha kuhadaa umma!

Huyu bwana apuuzwe hajulikani yupo kwenye kundi gani yupo kama popo! Tundu Lissu tunakuuliza suala la bandari ajenda imekufa? au JPM aliiba dola kama unavyohadaa umma

Kijana wetu nimegundua ni mhuni hafai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Unawezaje kusema aliyefariki alikutwa na dolar kwake tena Rais wa nchi anamaanisha walifanya upekuzi na kama walifanya upekuzi

Je, walikuwa wanatafta hizo hela siamini Marais kama wanapekuliwa huo ni uongo ambao ni wa kupuuza na pia Tundu Lissu nimeamini kuna kitu anatafuta akamatwe aanze kuwataarifa jamaa zake wale.

Vijana amkeni huyo anafanya political enterpreneur hamna kitu hapo hana anachosimamia
 
Nimemsikiliza mara nyingi bwana tundu lisu kwa sasa hana hoja amebaki anatukana mtu ambaye tayari hatunaye swala la bandari huenda ilikuwa kiini macho cha kuhadaa umma! huyu bwana apuuzwe hajulikani yupo kwenye kundi gani yupo kama popo! tundulisu tunakuuliza swala la bandari ajenda imekufa ? au jpm aliiba dola kama unavyohadaa umma

kijana wetu nimegundua ni mhuni hafai kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ! unawezaje kusema aliyefariki alikutwa na dolar kwake tena raisi wa nchi anamaanisha walifanya upekuzi na kama walifanya upekuzi je walikuwa wanatafta hizo hela siamini maraisi kama wanapekuliwa huo ni uongo ambao ni wa kupuuza na pia tundu lisu nimeamini kuna kitu anatafuta akamatwe aanze kuwataarifa jamaa zake wale.

matusi karibuni.
Naunga mkono hoja
 
Wewe sukuma gang tulia. Legacy ziii!!!

Jiwe alikutwa kafungia madolari ndani kwake. Familia yake ndiyo ilitoa taarifa kwa serikali.

Siyo hayo tu hata pesa za plea bargaining alizificha uchina kwenye akaunti yake binafsi.

Jiwe ananuka uovu, jiwe alikuwa laana ya taifa
 
Lissu anawavuruga machawa, hadi wakapigwa ban saiz hawatakiwi tena
 
Wewe sukuma gang tulia. Legacy ziii!!!

Jiwe alikutwa kafungia madolari ndani kwake. Familia yake ndiyo ilitoa taarifa kwa serikali.

Siyo hayo tu hata pesa za plea bargaining alizificha uchina kwenye akaunti yake binafsi.

Jiwe ananuka uovu, jiwe alikuwa laana ya taifa
hata tundu lisu anajuwa jpm ni jembe mkuu legacy yake haitofutika hata mwanao ataelezwa jpm alifanya kazi kwa ajiri ya nchi ! atakuta miradi kama bwawa la nyerere fly over na sgr hayo yote wewe mwenyewe utamwambia ! hakuna ambaye hana mapungufu hata wewe hapo ulipo yapo ya kwako ndiyo maana unasema mwizi kwamba familia yake ilisema ukibinywa hizo nanii ukaulizwa kuhusu hilo hamna unachokijuwa, acha habari za kusadikika mkuu
 
Tundu Lissu si mwanasiasa bali mwanaharakati....tena mwanaharakati asiye na UTU wala STAHA....ni mwanaharakati asiye na NIDHAMU ya kiafrika.....

Naunga mkono hoja... ndugu Tundu Lissu apuuzwe
toka mseme apuuzwe lini alipuuzwa yule mtu wenu alisema azomewe chato matokeo yake akashangiliwa sembuse nyie wala mihogo wa dpworld labda mamayenu muuza bandar ndio atapuuzwa na asilogwe aje kanda ya ziwa atatoka na aibu wajinga nyinyi.
 
Nimemsikiliza mara nyingi bwana tundu lisu kwa sasa hana hoja amebaki anatukana mtu ambaye tayari hatunaye swala la bandari huenda ilikuwa kiini macho cha kuhadaa umma! huyu bwana apuuzwe hajulikani yupo kwenye kundi gani yupo kama popo! tundulisu tunakuuliza swala la bandari ajenda imekufa ? au jpm aliiba dola kama unavyohadaa umma

kijana wetu nimegundua ni mhuni hafai kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ! unawezaje kusema aliyefariki alikutwa na dolar kwake tena raisi wa nchi anamaanisha walifanya upekuzi na kama walifanya upekuzi je walikuwa wanatafta hizo hela siamini maraisi kama wanapekuliwa huo ni uongo ambao ni wa kupuuza na pia tundu lisu nimeamini kuna kitu anatafuta akamatwe aanze kuwataarifa jamaa zake wale.

Vijana amkeni huyo anafanya political enterpreneur hamna kitu hapo hana anachosimamia

matusi karibuni.
kuwadi la dpworld
 
Magufuli lazima asemwe Hata Mzee Makamba alisema WAZURI HAWAFI ndio maana Lissu yupo Magufuli hayupo
 
Wewe sukuma gang tulia. Legacy ziii!!!

Jiwe alikutwa kafungia madolari ndani kwake. Familia yake ndiyo ilitoa taarifa kwa serikali.

Siyo hayo tu hata pesa za plea bargaining alizificha uchina kwenye akaunti yake binafsi.

Jiwe ananuka uovu, jiwe alikuwa laana ya taifa
watu kama hawa utasema sukuma gang
 
Attachments

  • Tapatalk-Download1431359142TAARIFA YA MWAKA, KAMATI YA ARDHI,MALIASILI NA UTALII PRINTING-1.pdf
    249.5 KB · Views: 1
Wewe sukuma gang tulia. Legacy ziii!!!

Jiwe alikutwa kafungia madolari ndani kwake. Familia yake ndiyo ilitoa taarifa kwa serikali.

Siyo hayo tu hata pesa za plea bargaining alizificha uchina kwenye akaunti yake binafsi.

Jiwe ananuka uovu, jiwe alikuwa laana ya taifa
Tundu Lissu si mwanasiasa bali mwanaharakati....tena mwanaharakati asiye na UTU wala STAHA....ni mwanaharakati asiye na NIDHAMU ya kiafrika.....

Naunga mkono hoja... ndugu Tundu Lissu apuuzwe
Sindano imekuingia eee wew kibwetele.
Kaungane na mwezio wasira aliagiza Lissu azomewe watu wanawapuuza ccm badala ya Lissu.
 
Nimemsikiliza mara nyingi bwana tundu lisu kwa sasa hana hoja amebaki anatukana mtu ambaye tayari hatunaye swala la bandari huenda ilikuwa kiini macho cha kuhadaa umma! huyu bwana apuuzwe hajulikani yupo kwenye kundi gani yupo kama popo! tundulisu tunakuuliza swala la bandari ajenda imekufa ? au jpm aliiba dola kama unavyohadaa umma

kijana wetu nimegundua ni mhuni hafai kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ! unawezaje kusema aliyefariki alikutwa na dolar kwake tena raisi wa nchi anamaanisha walifanya upekuzi na kama walifanya upekuzi je walikuwa wanatafta hizo hela siamini maraisi kama wanapekuliwa huo ni uongo ambao ni wa kupuuza na pia tundu lisu nimeamini kuna kitu anatafuta akamatwe aanze kuwataarifa jamaa zake wale.

Vijana amkeni huyo anafanya political enterpreneur hamna kitu hapo hana anachosimamia

matusi karibuni.
Tunashukuru kwa ajili ya shujaa Tundu Lissu ameeendelea kuwafungua watanzania!
 
Tundu lisu hafai kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania
Lini ulisema anafaa kuwa Rais wa Tanzania, kila siku umebaki hafai hafai kwa hio mama yenu muuza bandari za tvanganyika kwa warabu wake ndio anafaa, upunguwani mzigo.
 
Back
Top Bottom