Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

Makamanda wanadai uhuru na haki yao yakufukuliwa tope.
Daah... Maisha yapo Kasi sanaa.
 
Mwanaume straight hawezi tetea huu upuuzi Crimea Toka kwenye huu uzi utajua idadi ya wanaume wanaoshiriki vitendo vya kishoga
Kabisa mkuu! Kiukweli najisikia aibu sana kuona wanaume wenzangu kutoka chadema wanachekelea maneno haya ya mgombea wao wa urais.
 
Jinsi anavyoongelea swala la ushoga angeju ni bora angekwa anakaa kimya maana naona kama ndo anazidi kuhalibu kabisa.
 
Hapo Lissu kaharisha. Maadili na utamaduni wetu ushoga haukubaliki. Ni aibu kubwa.
Huyu mpuuzi ndio mchungaji mwingila alisema kaletwa na Mungu? Ni Mungu yupi huyo anaehubiriwa na hawa watu?
Mbona biblia ipo wazi Sana kwenye kuupinga ushoga?
Tumshukuru muandishi alieuliza hilo swali. Tumemjua Lissu ni nani na anamalengo gani.
 
Shangaa mkuu yani hata yule Bagonza mfuasi wa misimamo ya Martin Luther nae anampigia chapuo huyu mpigania ushoga.
 
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa

"Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa faragha yake, naunga mkono msimamo huo wa Katiba, siyo kazi ya Serikali kuchungulia kwenye vyumba vya watu, kama kweli wanapiga vita ushoga wafute hayo maneno."

Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama wataanza kuingilia mambo ya vyumbani kwa watu itafikia kipindi mtu ataulizwa "Wewe mbona hufanyi sawasawa"
Huu ni mfano halisi wa HOJA MFU! Ambao ni typical example ya UBISHI usio na maana. Kwani Lissu kaambiwa, na hata na hao waliomtuma kuwa, faragha ni pamoja na kufanya mambo ambayo "ni kinyume na kawaida" yaani ni kinyume na maumbile - kama unaelewa what I mean! Kiimani, na hii ni kwa dini zote, kimaumbile na hata kisayansi si sawa kufanya mambo ya aina ya kishoga, kisagaji, kifiraji na mambo ya aina hiyo ambayo Lissu anayaita "haki ya kulindiwa faragha", what a shame! Maneno kama haya ndiyo yanayowaibua watu wengine humu JF kumfikiria Lissu VINGINE!
 
Kabisa mkuu! Kiukweli najisikia aibu sana kuona wanaume wenzangu kutoka chadema wanachekelea maneno haya ya mgombea wao wa urais.
Naona unapiga piga tu makelele. Rais yeyote anayechaguliwa anaapa kuilinda katiba. Na isitoshe ni lazima uelewe kuwa kila kinachoandikwa kwenye katiba lazima kifuatwe na Rais mteule na ndiyo maana anaapa.

Kwenye katiba nchi yetu haijauzungumzia ushoga kwa kuwa hawana kipimo cha kumjua shoga ili waliweke kuwa ni kosa. Mfano hao kina James hakuna mahali unaweza ku prove kuwa ni shoga.

Isipokuwa sheria imewekwa kuzuia usambazaji wa video na picha chafu ikiwemo za ngono na hiyo sheria waliipitisha kina Lissu bungeni. Hilo linabakia kama maadili ya mtu binafsi na Mungu wake. Sasa huwezi kumtuhumu Lissu kwa mapenzi ya jinsia moja wakati ndoa yake aliyofunga imehusisha jinsia mbili tofauti. Pia ana watoto na hajawahi popote kutamka hata mzaha tu kuhusu ushoga.

Nikupe mfano. Hivi Magufuli alipokuwa Dodoma kisha akamjibu yule baba kuwa aliyedai kuwa anamuota akamuuliza "Unaniota tukiwa kitandani au? Angekuwa amesema hivyo Lissu hata kwa mzaha tu nyie muda huu si mngekuwa mnamnyea kabisa!

Au leo Magufuli alipomuomba Sugu amsugue ingekuwa kasema hivyo Lissu si mngepeleka hadi malalamiko NEC? Mbona wao Chadema wala hata hawana ishu na hayo aliyosema Magufuli?

Ifikie mahali nyie CCM muache hizi siasa za kipumbavu!
 
Huu ni mfano halisi wa HOJA MFU! Ambao ni typical example ya UBISHI usio na maana. Kwani Lissu kaambiwa, na hata na hao waliomtuma kuwa, faragha ni pamoja na kufanya mambo ambayo "ni kinyume na kawaida" yaani ni kinyume na maumbile - kama unaelewa what I mean! Kiimani, na hii ni kwa dini zote, kimaumbile na hata kisayansi si sawa kufanya mambo ya aina ya kishoga, kisagaji, kifiraji na mambo ya aina hiyo ambayo Lissu anayaita "haki ya kulindiwa faragha", what a shame! Maneno kama haya ndiyo yanayowaibua watu wengine humu JF kumfikiria Lissu VINGINE!
Nlihoji toka siku nyingi sana kwamba yule beberu wa Lisu ndugu Amsterdam anataka nini tz mpaka anakuwa msemaji wa Lisu kwenye masuala ya uchaguzi? Kumbe mambo kama haya ya ushoga ndio agenda yao kuu.

Jana kuna barua ilivuja huko twiter kwamba ni ya huyo jamaa kwenda kwa Lisu, haraka sana alitokea kukanusha kwa hasira na matusi kwamba siyo yake.

Bahati nzuri nmeona watz kwenye page yake wanamshughulikia vilivyo.

Baada ya oktoba titaelewana tu.

Uzuri hana kura za kumfanya awe rais hivyo hivi viharakati vyake vitaishia ukingoni na hata angekuwa nazo naamini system nzuri ya tz aliyoijenga mwalim Nyerere na waliomfutia haiwezi kukabidhi nchi kwa hayo mafisi.
 
Naona unapiga piga tu makelele. Rais yeyote anayechaguliwa anaapa kuilinda katiba. Na isitoshe ni lazima uelewe kuwa kila kinachoandikwa kwenye katiba lazima kifuatwe na Rais mteule na ndiyo maana anaapa.

Kwenye katiba nchi yetu haijauzungumzia ushoga kwa kuwa hawana kipimo cha kumjua shoga ili waliweke kuwa ni kosa. Mfano hao kina James hakuna mahali unaweza ku prove kuwa ni shoga.

Isipokuwa sheria imewekwa kuzuia usambazaji wa video na picha chafu ikiwemo za ngono na hiyo sheria waliipitisha kina Lissu bungeni. Hilo linabakia kama maadili ya mtu binafsi na Mungu wake. Sasa huwezi kumtuhumu Lissu kwa mapenzi ya jinsia moja wakati ndoa yake aliyofunga imehusisha jinsia mbili tofauti. Pia ana watoto na hajawahi popote kutamka hata mzaha tu kuhusu ushoga.

Nikupe mfano. Hivi Magufuli alipokuwa Dodoma kisha akamjibu yule baba kuwa aliyedai kuwa anamuota akamuuliza "Unaniota tukiwa kitandani au? Angekuwa amesema hivyo Lissu hata kwa mzaha tu nyie muda huu si mngekuwa mnamnyea kabisa!

Au leo Magufuli alipomuomba Sugu amsugue ingekuwa kasema hivyo Lissu si mngepeleka hadi malalamiko NEC? Mbona wao Chadema wala hata hawana ishu na hayo aliyosema Magufuli?

Ifikie mahali nyie CCM muache hizi siasa za kipumbavu!
Mkuu inajulikana wazi ushoga hapa tz ni kitendo haramu, hakifai kwanza hata kutamka tu ni aibu kubwa.

Sasa anapotokea muhuni mmoja kisa kakutana na wahuni wenzie huko ubelgiji na kuanza kusema eti ni siuala la faragha inatia hasira sana.

Hizo haki za faragha huyo muhuni wenu inaonekana hajui.
 
Nlihoji toka siku nyingi sana kwamba yule beberu wa Lisu ndugu Amsterdam anataka nini tz mpaka anakuwa msemaji wa Lisu kwenye masuala ya uchaguzi? Kumbe mambo kama haya ya ushoga ndio agenda yao kuu.

Jana kuna barua ilivuja huko twiter kwamba ni ya huyo jamaa kwenda kwa Lisu, haraka sana alitokea kukanusha kwa hasira na matusi kwamba siyo yake.

Bahati nzuri nmeona watz kwenye page yake wanamshughulikia vilivyo.

Baada ya oktoba titaelewana tu.

Uzuri hana kura za kumfanya awe rais hivyo hivi viharakati vyake vitaishia ukingoni na hata angekuwa nazo naamini system nzuri ya tz aliyoijenga mwalim Nyerere na waliomfutia haiwezi kukabidhi nchi kwa hayo mafisi.
Halafu leo nimemsikia pale Arusha wakati anaongea na waandishi wa habari akisema kuwa "Tanzania ni omba omba hivyo hatuwezi kuwaita hao watupao misaada na vyakula MABEBERU". Nikaelewa waziwazi kuwa huyu Lissu katumwa ili aje aivuruge nchi hii kwa faida ya akina Amsterdam. Pia nikamsikia akisema kuwa Amsterdam ni wakili wake! Huyu Lissu alitoka hapa na kwenda Kenya na hatimaye Ubelgiji kutibiwa hayo majeraha ya risasi za ndege, leo anarudi akiwa na wakili, haya ni mambo ya ajabu sana. Hizo pesa za kumlipa huyo wakili kazitoa au atazipata wapi kama siyo kwa kuiuza nchi yetu!? Kwa mawazo yake na akili zake Lissu anadhani ataupata urais wa nchi hii. SUBUTU!
 
Haya sasa wale wanafiki wa lumumba mmetupiwa konde hilo, nawasubiri mnyanyue midomo yenu kujibu, mtu akishakuzidi akili hapa duniani huwezi kumshinda kwa chochote, huyu Lissu atawatapisha nyongo mpaka mkonde.
Huyu unaemsifia ni ambae umezidiwa akilk kiasi kwamba hata huna imani na uelewa wako .Acha kushabikoa kila kitu uaochoelewa kiundani .
 
Halafu leo nimemsikia pale Arusha wakati anaongea na waandishi wa habari akisema kuwa "Tanzania ni omba omba hivyo hatuwezi kuwaita hao watupao misaada na vyakula MABEBERU". Nikaelewa waziwazi kuwa huyu Lissu katumwa ili aje aivuruge nchi hii kwa faida ya akina Amsterdam. Pia nikamsikia akisema kuwa Amsterdam ni wakili wake! Huyu Lissu alitoka hapa na kwenda Kenya na hatimaye Ubelgiji kutibiwa hayo majeraha ya risasi za ndege, leo anarudi akiwa na wakili, haya ni mambo ya ajabu sana. Hizo pesa za kumlipa huyo wakili kazitoa au atazipata wapi kama siyo kwa kuiuza nchi yetu!? Kwa mawazo yake na akili zake Lissu anadhani ataupata urais wa nchi hii. SUBUTU!
Hasa hapo kwa pesa za kumlipa huyo wakili ndio pa kuhoji zaidi,!

Kwa jinsi Amsterdam anavyojipinda ili Lisu awe rais unaona kabisa kuna kitu anataka.
 
Back
Top Bottom