Kama huo ndio usaliti basi kumbe hakuna tofauti kati yao na CDM.... CDM ina wanachama na wafuasi wengi wameumizwa, kutekwa, kupotea na wengine kufa wakikipigania chama , vipi kuna hatua gani mmechukua kutafuta haki zao zaidi ya baadhi yenu kuunga juhudi mkono na kuelekea CCM na wengine mnawaita Covid 19 wako bungeni na mmeshindwa kuchukua hatua zozote kitaifa na kimataifa....mmelalamika TL kapigwa risasi nyio ambao sio wasaliti mmechukua hatua gani mpaka sasa? mnalalamika mmeporwa uchaguzi baadala ya kuingia barabarani mkaandamana kwenye keyboard na mgombea wenu mmeshindwa kumlinda kakimbia nchi anaishi uhamisho.....Maalima Seif amepata misukosuko kuliko mwanasiasa yeyote hapa TZ lakini hakuwahi kuishi uhamishoni...... Usaliti ni pamoja na kushindwa kukilinda na kukisimamia unachokiamini + uoga....