Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.

Eti Bashiru alisema Sokoine alikufaje?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ule msemo wa ukimpiga chura take,unamuongezea mwendo HAKIKA nimeuamini!

na pia,ule msemo wa Yote mema yawe mazuri au mabaya HAKIKA nao nimeuamini!

Lissu alipata mabaya lakini,katika hayo mabaya amekuja kuwa mtu,Hodari na tishio kuliko mwanzo katika utawala wa Jiwe!

wadhani ATAKUFA lakini ni Kama wqmemuongezea mwendo wa kufikia kweli...

Mungu awe na WEWE Mh;Lissu!

Bila shaka hata swala la Mbowe na mwenzake nalo litageuka mema siku za mbeleni!
coz hakuna aliyejua kuwa,lissu atatoka mzima na hakunaga aliyetambua kuwa. atakuwa mtu wa wapendq haki,kweli na umoja!
Weng tulijua atafyata kama wakina mo,roma nk lkn kumbe huyu ni mtu mwingine kabisa naomba mungu asikie kilio cha wt
 
Samahani kuuliza si ujinga,anafanya ziara kama Tundu Lisu (a person) au kwa wadhifa wake wa Ubunge (taasisi)?

Kwani alipigwa kama taasisi. Taasisi inautaratibu wake sasa hapo umeona ana barua ya taasisi yoyote. Au unatupotezea muda na maswali yasiyo na mwelekeo
 
Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Nakuona unavyopumua kama vile umewekwa mtungi wa oxygen[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ushahidi kuwa zilikuwepo CCTV? Na Kama unao una ushahidi kuwa zilikuwa ni nzima na zinafanya kazi? Hiyo CCTV una ushahidi kuwa ilikuwa mali ya na Nani ? Je
CCTV ilikuwa Mali ya serikali au binafsi ?na una ushahidi kuwa ilikuwa na uwezo wa kuona umbali gani? Hiyo CCTV ilikuwa ya mtu binafsi au ya serikali? Kama ilikuwa ya mtu binafsi je kazi ya CCTV ya mtu binafsi ni kulinda nyumba za majirani au ya mhusika tu? Kisheria ni halali kuikomalia CCTV ya mtu mwingine kwenye tukio lililotokea kwako? Ukifwekwa mapanga usiku nje ya nyumba yangu utazokomalia CCTV zangu na kunikomalia kuwa lazima niwe shahidi wako mahakamani? Je CCTV za mtu binafsi Hana haki ya kuzitoa akitaka wakati wowote Kuna wa kumpangia azifunge au azitoe lini? Hizo CCTV zilikuwa za Lisu? Na kazi Yale ilikuwa kumlinda Lisu Kama zilikuwepo? Anayesema kulikuwa na CCTV ni Lisu Kama zilikuwa nzima au la hakuna ajuaye ila Lisu ndie anakomaa sijui ni injinia wa CCTV kujua zilikuwepo na zilikuwa nzima na Zina uwezo wa kuona alikokuwa!!!!!!!
Ombi : Utoaji wa mimba uruhusiwe ili kuwaepusha wazazi na aibu kama huyu kijana anavyowatia aibu wazazi wake
 
Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Prophecy of doom
 
Swafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaaana...Go lisuuu Goooooo.
In ISIS voice.

Indeed kaburini fasta walahi
IMG_7833.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi atakae kubali kutupa kura yake kumpigia kura mtu ambaye dish limeyumba ni nani lissu sasahivi anatapatapa tu hamna lolote analoweza kufanya ameshaathirika kiakili amebaki kuropoka ropoka tu hana lolote la maana aende zake huko atuachie nchi yetu ya amani
 
Tena nawashaur wapinzan wakifanikiwa kumng'oa jiwe na panya buk wenzake hakuna kupokea panya yeyote yule kundini iwe zam yao kukiona cha mtema kuni wapumbavu kabsa hawa wameifanya nchi kua shamba la bibi
hamna akili nyie kunguni yaani nchi inavyonyooka hivi mnasema imekuwa shamba la bibi tatizo lenu nikwamba hamuwezi kuiba tena kama mlivyokuwa mmezoea mtaishia kulalamika hovyo tu hampati kitu matajutaaaaa
 
#BREAKING_NEWS

Mh Tundu Lissu ameshatua Usa gov, Wale wenye mapepo wanaonena kwa lugha za kipepo waanze sasa. Kazi ya Lissu ni moja tu kuieleza dunia kilichompata na kuishukuru dunia kwa kumtibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In US there have been deadliest mass shooting in las vegas, orlando, sante fe high school, jewish synagogue in 2018,2017 and 2016 respectively where more than hundred people died
congressman was also shot in 2017.
nothing new to them
 
Hii nchi ina mavijana mengine ya hovyo sana, sasa unafikiri huyo mtu "mgonjwa" anaweza kua rais wa Tanzania?? Nakuombea upone haraka sana kijana wa hovyo hovyo. Jiwe mpaka 2025 bila kupepesa macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom