Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Maisha ni upepo ubadilika,Mugabe akutegemea kuna siku atasapoti upinzani ushinde hali yeye ndo kaweka vikwazo akiwa madarakani

Hicho kitu Daud Arbaty Bashite hakijui ndiyo maana kutwa kuwafanyia unyama Wapinzani lakini ipo siku atajutia unyama wake
 
Mi yangu macho tu....tuone nini kitajiri baada ya haya masekeseke...
 
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri Kwa kukupa matumaini hewa ya mda mfupi.Ukiujua ulimwengu umeyapata yote.Ya dunia ni upepo,waliomdhihaki Lowasa wametangulia wao yye anadunda bado.Yeye anasubiria ujira wako kadri alivopanda.
Hicho kitu Daud Arbaty Bashite hakijui ndiyo maana kutwa kuwafanyia unyama Wapinzani lakini ipo siku atajutia unyama wake
 
Ushahidi kamili sii uko kwenye Clip ya CCTV mbayo mnayo? na wahusika na mpango huo sii ni wale wenye authority ya kuwaambia walinzi waondoke lindoni? Yule ni mwanasheria anajua ajibu namna gani maswali ya ushahidi
Una ushahidi kuwa zilikuwepo CCTV? Na Kama unao una ushahidi kuwa zilikuwa ni nzima na zinafanya kazi? Hiyo CCTV una ushahidi kuwa ilikuwa mali ya na Nani ? Je
CCTV ilikuwa Mali ya serikali au binafsi ?na una ushahidi kuwa ilikuwa na uwezo wa kuona umbali gani? Hiyo CCTV ilikuwa ya mtu binafsi au ya serikali? Kama ilikuwa ya mtu binafsi je kazi ya CCTV ya mtu binafsi ni kulinda nyumba za majirani au ya mhusika tu? Kisheria ni halali kuikomalia CCTV ya mtu mwingine kwenye tukio lililotokea kwako? Ukifwekwa mapanga usiku nje ya nyumba yangu utazokomalia CCTV zangu na kunikomalia kuwa lazima niwe shahidi wako mahakamani? Je CCTV za mtu binafsi Hana haki ya kuzitoa akitaka wakati wowote Kuna wa kumpangia azifunge au azitoe lini? Hizo CCTV zilikuwa za Lisu? Na kazi Yale ilikuwa kumlinda Lisu Kama zilikuwepo? Anayesema kulikuwa na CCTV ni Lisu Kama zilikuwa nzima au la hakuna ajuaye ila Lisu ndie anakomaa sijui ni injinia wa CCTV kujua zilikuwepo na zilikuwa nzima na Zina uwezo wa kuona alikokuwa!!!!!!!
 
Una ushahidi kuwa ilikuwepo CCTV? Na Kama unao una ushahidi kuwa ilikuwa ni nzima na inafanya kazi? Hiyo CCTV
CCTV haikuwa Mali ya serikali na una ushahidi kuwa ilikuwa na uwezo was kuona umbali gani? Hiyo CCTV ilikuwa ya mtu binafsi au ya serikali? Kama ilikuwa ya mtu binafsi je kazi ya CCTV ya mtu binafsi no kulinda nyumba za majirani au ya mhusika tu? Kisheria no halali kuikomalia CCTV ya mtu mwingine kwenye tukio lililotokea kwako? Ukifwekwa mapanga usiku nje ya nyumba yangu utazokomalia CCTV zangu na kunikomalia kuwa lazima niwe shahidi wako mahakamani? Je CCTV za mtu binafsi Hana haki ya kuzitoa akitaka wakati wpwote Kuna wa kumpangia azifunge au azitoe lini? Hizo CCTV zilikuwa za Lisu? Na kazi Yale ilikuwa kumlinda Lisu Kama zilikuwepo? Anayesema kulikuwa na CCTV ni Lisu Kama zolikuwa nzima au la hakuna ajuaye ila Lisu ndie anakomaa sijui ni injinia wa CCTV kijua zilikuwepo na zilikuwa nzima na Zina uwezo wa kuona alikokuwa!!!!!!!
Zingekuwa mbovu zisingeondolewa,ruhusuni wanaume waingie kazini wazihack muumbuke.Mnafanya mambo kama watoto wadogo chance ya kuunganisha dots,ganda za bullets si mnazo?mzitumie kuwanasa wahusika
 
Zingekuwa mbovu zisingeondolewa,ruhusuni wanaume waingie kazini wazihack muumbuke.Mnafanya mambo kama watoto wadogo chance ya kuunganisha dots,ganda za bullets si mnazo?mzitumie kuwanasa wahusika
Bado nami nikuongeze maswali. Aliyesema Camera zilitolewa ni nani?Alisema kama nani Na kwanini?Alifanya uchunguz sa ngapi?Ukijibu haya maswali hutaendelea kuongea story za CCTV

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Vumileni tu mlipanda miba,mtazaa tu mwaka huu kama simba 5 Bila.Siku zingine muwe na plan B.Ombeni poo mwekeni kati mtubu muombeni msamaha, myamalize maisha yasonge.Ila mjue dunia ni ya Mungu funzo.
 
CCTV zikiwa mbovu unaziacha hivyo hivyo au unazotoa ufunge zingine?
Kwanza muulize ukitaka CCTV isifanye kazi unang'oa camera za nje au unazima mashine ya ndani?Muulize aliyesema CCTV zilitolewa ni nani na kama nani Na kwanini?Alifanya uchunguz sa ngapi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Back
Top Bottom