Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Lawama zote ni kwa mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite toka kolomije kwani bila wao kumpiga kwa Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko America, chanzo cha Tatizo ni viongozi wachache huko CCM ambao wana roho mbaya wamekariri kuwa watakuwa madarakani milele na kusahau kuwa walikuwepo viongozi wanyama kuliko wao na leo wapo wapi? Bokassa, Abacha, chiluba, sadam Hussein, Gadafi, mabutu, Iddy Amin dada na yule msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu ambaye alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Daud Arbaty Bashite wapo wapi leo? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni aibu kubwa.
Mkuu, ni kweli kabisa. Kama huko CCM kuna yeyote mwenye hekima aliyesalia, anapaswa kuanzisha mchakato wa kutambua kiini cha tatizo. Wa kulaumiwa ni yule aliyeratibu shambulizi. Vema CCM wajiulize kama shambulizi dhidi ya Lissu limewa promote au kuwa demote. Wachukue hatua dhidi ya aliyeratibu ili kuepuka aubi kama hii in future. Kilangila.
 
Kama una CCTV mbovu ambaxo ulikuwa hujali kuzifanyia mstengenezo nyumba ya jirani ikavamiwa na majambazi kesho asubuhi na mapema utatoa CCTV mbovu na kufunga mpya chap chap.Tukio la ujambazi kwa jirani litakusukuma ufunge CCTV zingine na kutoa za zamani mbovu kujiweka fit kiulinzi huwezi kaa bila kuchukua hatua chap chap.Huwezi acha mbovu ziendelee kuwepo.Tukio linakuwa wake up call ya kubadilisha CCTV mbovu haraka kuziondoa na kufunga mpya
Ebu acha kuvuta Bangi hiyo mifano ya kifala fala wapelekee wanywa gongo huko uwanja wa fisi, ujue watanzania wameamka acheni kuwaletea upumbavu wenu na mifano yenu ya kijinga jinga
 
Tuheshimu utawala na sheria!
Je, yafuatayo ni utawala wa sheria?
1. Kesi za kubambikiza dhidi y wapinzani,
2. Kupiga risasi wapinzani,
3. Kutofanya uchunguzi dhidi ya tukio,
4. Kuwahamisha walinzi waliokuepo zamu,
5. Kunyofoa na kuficha CCTV camera, na
6. Kumyima mpinzani stahili za matibabu.

Kumbuka Kuwa Sheri ni msumeno. Kilangila.
 
Dunia kweli mzunguko. Nyerere alienda kudai Uhuru UN lisu anaenda kudai Uhuru vyuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu wewe Pasuka tu kama Chura ,inavyoonekana lime kuuma mpaka Moyoni.Chuki humuumiza anae ihifadhi ,halafu ya kwako ni ya kibaguzi na wala hauoni Ubaya alio fanyiwa Binadamu mwenzio.
 
Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Zero sawa na wewe ni Bashite hivi huyo bwana eenu anaweza hata kuongea mistari lugha ya malkia!! Mje mnikamate mni Ded wa itigi singida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDIYO MAENDELEO NA HOJA ZILIZOJENGWA NA BAVICHAA/PUMBANISM/UFIPA/CHADOMO KWA ZAIDI YA MIAKA MI3 ILIYOPITA.

SO SAD, TZ NI ZAIDI YA VIMEO KWA UPINZANI WA KISIASA SABABU YA KUWA NA NYUMBU WENGI SANA WACHUMIA TUMBO.

JPM KAZA SANA BABA HADI 2045 WATAKUELEWA TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[Thus kila wafanyalo linabuma,ardhi inalilia damu za wasio na hatia.QUOTE="minyoo, post: 30298892, member: 145908"]Laana zimeanza kuwakuta na bado laana nyingi zitawaandama sana[/QUOTE]
 
Lawama zote ni kwa mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite toka kolomije kwani bila wao kumpiga kwa Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko America, chanzo cha Tatizo ni viongozi wachache huko CCM ambao wana roho mbaya wamekariri kuwa watakuwa madarakani milele na kusahau kuwa walikuwepo viongozi wanyama kuliko wao na leo wapo wapi? Bokassa, Abacha, chiluba, sadam Hussein, Gadafi, mabutu, Iddy Amin dada na yule msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu ambaye alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Daud Arbaty Bashite wapo wapi leo? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni aibu kubwa.
Ila huu u vasco da gama aliouanza hautofautiani na zile tetezi za bombadier na makinikia kabla ya kumkuta yaliyomkuta. trofauti tu ni kwamba kwa sasa hivi kavaa lile joho la da gama kama ulisoma historia ukaliona
 
Back
Top Bottom