GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,149
MmhCCM wote hawana Akili badala ya kuitisha maandamano Nchi nzima wamlaani Daud Arbaty Bashite na kikundi chake kwa kuwasababishia Duniani kote kujua ubaya wa CCM wamekalia kuandika ujinga ujinga wao mitandaoni wakati mchawi wao wapo nae huko huko ccm.