Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Vumileni tu mlipanda miba,mtazaa tu mwaka huu kama simba 5 Bila.Siku zingine muwe na plan B.Ombeni poo mwekeni kati mtubu muombeni msamaha, myamalize maisha yasonge.Ila mjue dunia ni ya Mungu funzo.
Nini matokeo ya ziara hizo za lisu kwake yeye kama yeye na Taifa?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Una ushahidi kuwa zilikuwepo CCTV? Na Kama unao una ushahidi kuwa zilikuwa ni nzima na zinafanya kazi? Hiyo CCTV una ushahidi kuwa ilikuwa mali ya na Nani ? Je
CCTV ilikuwa Mali ya serikali au binafsi ?na una ushahidi kuwa ilikuwa na uwezo wa kuona umbali gani? Hiyo CCTV ilikuwa ya mtu binafsi au ya serikali? Kama ilikuwa ya mtu binafsi je kazi ya CCTV ya mtu binafsi ni kulinda nyumba za majirani au ya mhusika tu? Kisheria no halali kuikomalia CCTV ya mtu mwingine kwenye tukio lililotokea kwako? Ukifwekwa mapanga usiku nje ya nyumba yangu utazokomalia CCTV zangu na kunikomalia kuwa lazima niwe shahidi wako mahakamani? Je CCTV za mtu binafsi Hana haki ya kuzitoa akitaka wakati wpwote Kuna wa kumpangia azifunge au azitoe lini? Hizo CCTV zilikuwa za Lisu? Na kazi Yale ilikuwa kumlinda Lisu Kama zilikuwepo? Anayesema kulikuwa na CCTV ni Lisu Kama zolikuwa nzima au la hakuna ajuaye ila Lisu ndie anakomaa sijui ni injinia wa CCTV kijua zilikuwepo na zilikuwa nzima na Zina uwezo wa kuona alikokuwa!!!!!!!
Ujue wewe ni mtu mpumbavu kupita binadamu wote Duniani kwa ufala wako utadhani hiyo mifano yako ya kishamba toka kolomije ina mashiko? Kwa taarifa yako wewe mbweha mbumbumbu mtetezi wa CCM usiye na haya ni kwamba zile cctv ni mali ya Serikali ziliwekwa pale kulinda nyumba zote zinazozunguka eneo husika na Mtu aliyekwenda kuzing’oa cctv ni mbunge wa chato pamoja na Daud Arbaty Bashite aliyekuwa kaambatana na Le mutuz, ziling’olewa siku moja baada ya shambulio kwa Tundu Lisu hazikuwa mbovu wala kisingizio chochote, sababu ya kuzing’oa ni kuficha ushahidi juu ya picha na video zilizokuwa zinaonyesha watuhumiwa wote walioshiriki kumshambulia Tundu Lisu kwa Risasi, watuhumiwa walionasa kwenye video na picha vizuri ni Cyprian musiba, Heri kisanduku na jerry muro lakini Bashite na le mutuz hawakushuka kwenye gari wao picha zao hazionekani wakati wa shambulio lakini wakati wanaenda kuzing’oa picha zipo na ndiyo maana hizo cctv camera zilienda kufichwa nyumbani kwa Daud Arbaty Bashite kukwepa kusambaa kirahisi.
 
Bado nami nikuongeze maswali. Aliyesema Camera zilitolewa ni nani?Alisema kama nani Na kwanini?Alifanya uchunguz sa ngapi?Ukijibu haya maswali hutaendelea kuongea story za CCTV

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.Swali hio waulizwe walinzi si walikuwepo.Wahalifu si waliacha maganda ya risasi zaidi ya 38 yako wapi? Ukipata tu ganda La risasi ushampata muhalifu.
 
Hizi sarakasi hizi, ,, mlianza na lowassa ,mkaja na ukuta, mkaja na Da mange sasa hivi mko na lisu. ..
Mwenzenu kaamua kutumia fursa kutalii halafu nyinyi huku mnapiga mikelele ovyo. .
2020 akirudi JPM atakuwa tayar keshamliza kazi. .....
Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019.

Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo haya ni *“Tanzania’s Democratic Challenge.”*

Jenniffer Cooke, The Instute for African Studies (IAfS) Director, ataongoza mazungumzo haya na mgeni mualikwa Ndugu Tundu Lissu.

Tutaendelea kuwajulisha ratiba yake kila siku hadi mwisho wa ziara yake.
View attachment 1013815
View attachment 1013814
View attachment 1013813
 
Eh Mungu Baba wa Rehema, kwanini hawa watu wabaya walimfanyia hivi Lisu? Aliwakosea nini? Kutofautiana nao kimawazo ndiyo wampige risasi? Tunakuache wewe utoe hukumu ya haki. AMEN
 
So mlisubiri tukio then ndo mtoe mfunge zingine?. Intelligence ya wapi hio?
Kama una CCTV mbovu ambaxo ulikuwa hujali kuzifanyia mstengenezo nyumba ya jirani ikavamiwa na majambazi kesho asubuhi na mapema utatoa CCTV mbovu na kufunga mpya chap chap.Tukio la ujambazi kwa jirani litakusukuma ufunge CCTV zingine na kutoa za zamani mbovu kujiweka fit kiulinzi huwezi kaa bila kuchukua hatua chap chap.Huwezi acha mbovu ziendelee kuwepo.Tukio linakuwa wake up call ya kubadilisha CCTV mbovu haraka kuziondoa na kufunga mpya
 
Una ushahidi kuwa zilikuwepo CCTV? Na Kama unao una ushahidi kuwa zilikuwa ni nzima na zinafanya kazi? Hiyo CCTV una ushahidi kuwa ilikuwa mali ya na Nani ? Je
CCTV ilikuwa Mali ya serikali au binafsi ?na una ushahidi kuwa ilikuwa na uwezo wa kuona umbali gani? Hiyo CCTV ilikuwa ya mtu binafsi au ya serikali? Kama ilikuwa ya mtu binafsi je kazi ya CCTV ya mtu binafsi ni kulinda nyumba za majirani au ya mhusika tu? Kisheria ni halali kuikomalia CCTV ya mtu mwingine kwenye tukio lililotokea kwako? Ukifwekwa mapanga usiku nje ya nyumba yangu utazokomalia CCTV zangu na kunikomalia kuwa lazima niwe shahidi wako mahakamani? Je CCTV za mtu binafsi Hana haki ya kuzitoa akitaka wakati wowote Kuna wa kumpangia azifunge au azitoe lini? Hizo CCTV zilikuwa za Lisu? Na kazi Yale ilikuwa kumlinda Lisu Kama zilikuwepo? Anayesema kulikuwa na CCTV ni Lisu Kama zilikuwa nzima au la hakuna ajuaye ila Lisu ndie anakomaa sijui ni injinia wa CCTV kijua zilikuwepo na zilikuwa nzima na Zina uwezo wa kuona alikokuwa!!!!!!!
Kujibu ujinga huu ni kupoteza muda.
 
Nini matokeo ya ziara hizo za lisu kwake yeye kama yeye na Taifa?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Jirani akiwa mwenye tabia mbaya mtaani kwenu mfano anatesa watoto, mke,mwizi anafisadi Mali za watoto kufanya anasa,anabagua watoto, anaua watoto wake,ana dhalilisha watoto wake mnafanyaje?
 
Eh Mungu wa Baba wa Rehema, kwanini hawa watu wabaya walimfanyia hivi Lisu? Aliwakosea nini? Kutofautiana nao kimawazo ndiyo wampige risasi? Tunakuache wewe utoe hukumu ya haki. AMEN
Na sasa wameanza kupiga risasi watu mpaka makanisani etri kukusanya ushuru!
 
Bob Wine of Uganda did the same....what happened?nothing ...Museveni bado yuko anadunda
Usibeze, hali ya Uganda na Tanzania kimaslahi kwa hao anaowazungukia Lisu ni tofauti kabisa. Hiki ni kipindi serikali inatakiwa kuwa makini sana, badala yake ndio kwanza wachungaji wanauawa madhabahuni!

Ama kweli la kuvunda halina ubani.
 
Jirani akiwa mwenye tabia mbaya mtaani kwenu mfano anatesa watoto, mke,mwizi anafisadi Mali za watoto kufanya anasa,anabagua watoto, anaua watoto wake,ana dhalilisha watoto wake mnafanyaje?
Ungejibu haya ningeona Kichwani mwako kuna la maana unalojua kuhusu CCTV. Ila sasa naona umekarr wimbo usiojua maana yake.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Wa
Tofauti ya Ukoloni wa sasa na wazamani ni Ngozi tu
Wa zamani walituletea maendeleo Kilimo kilipa masoko tele,ajira zilikuwepo tele viwandani Mashambani,elimu afya vilikuwa bora,wa sasa wametuletea ufukara,ujinga
 
Ushahidi kamili sii uko kwenye Clip ya CCTV mbayo mnayo? na wahusika na mpango huo sii ni wale wenye authority ya kuwaambia walinzi waondoke lindoni? Yule ni mwanasheria anajua ajibu namna gani maswali ya ushahidi

Mfundishe hayo Maneno Lissu akiwa anahojiwa aseme hivyo maana kaulizwa waliom shoot kasema hajui sasa Wewe unajua Na una ushahdi mpe Awe anausema
 
Hicho kitu Daud Arbaty Bashite hakijui ndiyo maana kutwa kuwafanyia unyama Wapinzani lakini ipo siku atajutia unyama wake
Anguko lake litakuja kupitia huyo,bashite ni gunia La misumari
 
Back
Top Bottom