anayoyafanya huyaoni ?utalinganisha na vipidi vingine mlivyozoea vya kujichotea tu hela ya uma mpaka mtoto wa miaka kumi mnakutana bar nae eti antozungusha round amepata wapi pesa komaeni hakuna vya bure hapaUtakuwa ni zwazwa, nchi inanyooka wakati Mjomba na Mpwa wanajichotea na kugawa wanavyojisikia
aliye panic hapo ni nani unaweza kutuambia nani kapanic na amepanic vipi huyo anchofanya i kama anmpigia mbuzi gitaa hakuna taifa litakalo tulazimisha kufuata uongo anaoutanaza huko anajichosha tuKitendo cha serikali ku-panic kufuatia hizi ziara kinaonyesha wazi kuwa wao ndio walimsababishia Lissu yoote hayo na wala hilo halina ubishi tena. All the best Lissu.
Mtu yupo Washington DC pale au ikulu hauioni mkuu ... Hapo kuna full security moja matata sana yaani hata nzi akijitokeza tu lazima awe maitiMbona lissu anaomekana hana walimzi hapo kulikon
Ma ccm sio watu ..walicho mfanyia lissu hakikuwa kitendo cha kibinaadamu hata shetani alikipinga huko alipo kuwa
Bob Wine of Uganda did the same....what happened?nothing ...Museveni bado yuko anadunda
Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Hawa jamaa ni washamba kweli kweli.Bob Wine of Uganda did the same....what happened?nothing ...Museveni bado yuko anadunda
Huoni kuwa jamaa kapiga picha mbele ya picha ya ikulu? Hilo nyuma hapo ni bango tu sio ikulu yenyewe.Mtu yupo Washington DC pale au ikulu hauioni mkuu ... Hapo kuna full security moja matata sana yaani hata nzi akijitokeza tu lazima awe maiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama unatania tu, lakini hapo sio ikulu ni picha tu!Mtu yupo Washington DC pale au ikulu hauioni mkuu ... Hapo kuna full security moja matata sana yaani hata nzi akijitokeza tu lazima awe maiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Without any credible evidence!!!!!!?/
Rudi uone ilivyoattact attention kuliko ziada ya Mkulu channel 10....!!!
Siyo picha tu, hapo ni Capitol Building.. Siyo mbali kutoka White House....!!Labda kama unatania tu, lakini hapo sio ikulu ni picha tu!
Isome vizuri hiyo pichaSiyo picha tu, hapo ni Capitol Building.. Siyo mbali kutoka White House....!!
museven aliingia kwa mapinduzi magu aliingia kwa kura kwa hiyo muda wa yeye kukaa ikulu ushakwisha subir ni kitambo kidogo