Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
480
644
Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019.

Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo haya ni *“Tanzania’s Democratic Challenge.”*

Jenniffer Cooke, The Instute for African Studies (IAfS) Director, ataongoza mazungumzo haya na mgeni mualikwa Ndugu Tundu Lissu.

Tutaendelea kuwajulisha ratiba yake kila siku hadi mwisho wa ziara yake.
fcdc6485-f0a0-42bf-a5f5-a87ed9d4f063.JPG

105b6040-0551-4fb2-9c24-c9365cae1f4e.JPG

1a2ed309-f804-4cc8-ac9c-70adab97f463.JPG
 
Ule msemo wa ukimpiga chura take,unamuongezea mwendo HAKIKA nimeuamini!

na pia,ule msemo wa Yote mema yawe mazuri au mabaya HAKIKA nao nimeuamini!

Lissu alipata mabaya lakini,katika hayo mabaya amekuja kuwa mtu,Hodari na tishio kuliko mwanzo katika utawala wa Jiwe!

wadhani ATAKUFA lakini ni Kama wqmemuongezea mwendo wa kufikia kweli...

Mungu awe na WEWE Mh;Lissu!

Bila shaka hata swala la Mbowe na mwenzake nalo litageuka mema siku za mbeleni!
coz hakuna aliyejua kuwa,lissu atatoka mzima na hakunaga aliyetambua kuwa. atakuwa mtu wa wapendq haki,kweli na umoja!
 
Back
Top Bottom