Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Mbona unawapenda ma dictator akina Mseveni ?!. Wameua watu mpaka basi

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi siongelei u dictator bali naongelea anayo fanya Tundulisu ni yale yale aliyo fanya Bob wine na wengine wengi abayo hayakuleta impact yoyote katika nchi zao..na vivyo hivyo wont bring any negative impact to our country....mark my words
 
Ule msemo wa ukimpiga chura take,unamuongezea mwendo HAKIKA nimeuamini!

na pia,ule msemo wa Yote mema yawe mazuri au mabaya HAKIKA nao nimeuamini!

Lissu alipata mabaya lakini,katika hayo mabaya amekuja kuwa mtu,Hodari na tishio kuliko mwanzo katika utawala wa Jiwe!

wadhani ATAKUFA lakini ni Kama wqmemuongezea mwendo wa kufikia kweli...

Mungu awe na WEWE Mh;Lissu!

Bila shaka hata swala la Mbowe na mwenzake nalo litageuka mema siku za mbeleni!
coz hakuna aliyejua kuwa,lissu atatoka mzima na hakunaga aliyetambua kuwa. atakuwa mtu wa wapendq haki,kweli na umoja!
Endeleeni kuhangaika na vuvuzela!! Sisi hapa kazi tu kwenye uchaguzi ujao mtakuwa mnawaeleza wananchi mgombea wenu alienda US kuongea na wanachuo!! Mkipigwa chini kwenye uchaguzi mtaanza kusema kura zimeibiwa!!
 
Tena nawashaur wapinzan wakifanikiwa kumng'oa jiwe na panya buk wenzake hakuna kupokea panya yeyote yule kundini iwe zam yao kukiona cha mtema kuni wapumbavu kabsa hawa wameifanya nchi kua shamba la bibi

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota kijana. Hivi utategemea huyo mgonjwa anaweza kuwa Rais wa nchi hii???!! Labda rais wa TLS au TFF au rais wa chama cha waogereaji Tanzania lakini JMT asahau milele!!
 
Huko Lumumba walikuwa wanachungulia kama hizo picha ni fake/editing!
 
aliye panic hapo ni nani unaweza kutuambia nani kapanic na amepanic vipi huyo anchofanya i kama anmpigia mbuzi gitaa hakuna taifa litakalo tulazimisha kufuata uongo anaoutanaza huko anajichosha tu
Unaongea kijinga hivyo wakati unatembeza bakuli, hata bajeti kukidhi kwa 50% tu ni ndoto. Ni bora ukae kimya, hamna unachoongea.
 
Ule msemo wa ukimpiga chura take,unamuongezea mwendo HAKIKA nimeuamini!

na pia,ule msemo wa Yote mema yawe mazuri au mabaya HAKIKA nao nimeuamini!

Lissu alipata mabaya lakini,katika hayo mabaya amekuja kuwa mtu,Hodari na tishio kuliko mwanzo katika utawala wa Jiwe!

wadhani ATAKUFA lakini ni Kama wqmemuongezea mwendo wa kufikia kweli...

Mungu awe na WEWE Mh;Lissu!

Bila shaka hata swala la Mbowe na mwenzake nalo litageuka mema siku za mbeleni!
coz hakuna aliyejua kuwa,lissu atatoka mzima na hakunaga aliyetambua kuwa. atakuwa mtu wa wapendq haki,kweli na umoja!
Maisha yangu yote nitawapinga watu na mfumo dhalimu na kusimama bila kutikisika na wapenda haki daima. Mmoja wa hawa ni huyu mja wa mwenyezi Mungu Antipas Tundu Lissu aliyeongezewa miaka ya ziada kuishi kama mflame Hezekiah. Hamtakufa bali mtaishi. Aliyetaka nyie mfe kama yupo watatangulia wao na watu wao na wateule wa Mungu wataendelea kuishi kwa msaada wa Mungu milele Amina.
 
"I survived to tell a tale" LISSU.
Go on Lissu, let the world and heavens know we have a wolf in sheep's skin.
And surely the tale is now being told with zeal, strength and supersonic speed.
 
Kuna siku Mungu ataweka gharika kwake ili naye ashuhudie mateso aliyompa mwenzake kwa sababu binafsi na za kipuuzi.Atakuja kuteseka ili aone ushetani wa nafsi yake
Huyo BASHITE lazima Apay the price ya alichokifanya hauwezi kumtesa mtu kihasi hiki aiseee!!! Haoni Lissu anavyoteseka kwa issue ambazo hazina kichwa wala miguu,mikataba wavunje wao,kushitakiwa washitakiwe wao,ndege wazuie wakanada lakini risasi anapigwa lissu.
 
Kibinadam inaumiza sana aisee
 
Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.

Wewe unayejua mijadala umewahi kualikwa BBC au Washington?
 
Unaongea kijinga hivyo wakati unatembeza bakuli, hata bajeti kukidhi kwa 50% tu ni ndoto. Ni bora ukae kimya, hamna unachoongea.
katika mazuzu wewe zuzu namba moja yaani kweli unaakili kweli wewe? yaani pesa zilizo kusanywa kwaawamu hii ya uongozi unaweza kuikashfu serikali et hata 50% ya bajeti hakuna? miradi hiyo inayojengwa huioni? wewe utakuwa na tatizo kichwani siyo bure au una ushabiki wa kitoto kila kitu unashabikia tu
 
Tena nawashaur wapinzan wakifanikiwa kumng'oa jiwe na panya buk wenzake hakuna kupokea panya yeyote yule kundini iwe zam yao kukiona cha mtema kuni wapumbavu kabsa hawa wameifanya nchi kua shamba la bibi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganyana, hivi uko darasa la ngapi, mmefungua shule?
 
katika mazuzu wewe zuzu namba moja yaani kweli unaakili kweli wewe? yaani pesa zilizo kusanywa kwaawamu hii ya uongozi unaweza kuikashfu serikali et hata 50% ya bajeti hakuna? miradi hiyo inayojengwa huioni? wewe utakuwa na tatizo kichwani siyo bure au una ushabiki wa kitoto kila kitu unashabikia tu
Wamekusanya wamekusanya nini, hizo takwimu feki ndio unataka kutulisha mbona watoto wamekosa madarasa ya kusomea na deni ni zaidi ya 60 trillion. Wangekuwa wanakusanya kihivyo wangeenda kukopa au kutembeza bakuli.
 
UNAJUA ushabiki wa kijinga utawapeleka pabaya
 
Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019.

Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo haya ni *“Tanzania’s Democratic Challenge.”*

Jenniffer Cooke, The Instute for African Studies (IAfS) Director, ataongoza mazungumzo haya na mgeni mualikwa Ndugu Tundu Lissu.

Tutaendelea kuwajulisha ratiba yake kila siku hadi mwisho wa ziara yake.
View attachment 1013815
View attachment 1013814
View attachment 1013813
Mbona naona ni picha iliyopigwa mbele ya wallpaper iliyosimamishwa eneo fulani, yaani sawa na mtu ukapige picha mbele ya picha kubwa ya ikulu ya Marekani.

Mdau tunaomba za huko chuo kikuu tafadhali
 
Akili yako ndo inakutuma ukiibiwa uwone kila kitu safi
wewe unaibiwa nini bwana acheni kuzusha tu habari ambazo hazipo kabisa....kisa zito ameongea au tundu lissu ametamka au lema ameandika kwenye tweeter.....tumia akili yako kuyafahamu mambo kiundani
 
Back
Top Bottom