Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019.
Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo haya ni *“Tanzania’s Democratic Challenge.”*
Jenniffer Cooke, The Instute for African Studies (IAfS) Director, ataongoza mazungumzo haya na mgeni mualikwa Ndugu Tundu Lissu.
Tutaendelea kuwajulisha ratiba yake kila siku hadi mwisho wa ziara yake.
View attachment 1013815
View attachment 1013814
View attachment 1013813