Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Nawahurumia, mnaacha mambo ya msingi mnashangilia TL kufika Marekani, atatalii sana sana, nanyi endeleeni kumshangilia, hii nchi mtakuwa mnasikia bombani tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
kama unatuhurumia si ungeanza kujihurumia wewe kwanza maana na wewe umeacha ya msingi uko humu Lisu kawashika pabaya sana
 
Namkubali Lissu sana. Ila chonde chonde Kaka yangu weka akiba ya maneno....punguza ukali kwa maneno yako, usiwamange sana viongozi na serikali yako. Just put it in simple language...hakuna demokrasia.

Kumbuka wewe ni muujiza unaoishi, uwepo wako na uhai wako ni pigo kubwa kwa mtesi wako.

Waliokupiga wana maumivu makali kuliko maumivu uliyopata, na hapo bado karma haijafanya kazi ipasavyo.
Mpaka sasa Le mutuz kaleta waganga wa kienyeji 65 toka mataifa mbalimbali wanatumia pesa za umma kwa mambo ya hovyo hovyo yasiyo na Tija kwa Taifa badala ya maendeleo
 
Umesahau usemi "Never urgue with a fool; people might not notice the difference".
Ungekaa kumya tu!

Wewe ndiyo ukae kimya maana wewe ni juha wa kutupwa hajielewi ingawa pengine huko ccm wanakuona ndiyo mjanja wao.
 
Tena nawashaur wapinzan wakifanikiwa kumng'oa jiwe na panya buk wenzake hakuna kupokea panya yeyote yule kundini iwe zam yao kukiona cha mtema kuni wapumbavu kabsa hawa wameifanya nchi kua shamba la bibi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ndoto yako utaiota hadi utachoka.. si kwa upinzani koko wa nchini hapa.
 
S
Sheria na katiba ya nchi lazima vitekelezwe na wasimamia sheria hivyo there is no point being talkative!
Sheria na katiba zinaruhusu mikutano ya siasa mbona mtukufu malaika toka chato kapiga marufuku?
 
Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Hafu inakera mtu anapotumia calories kibao kwa hisia huko mjadirishaji ukimuona kabisa kuwa hajadaka point hata moja. Kuvimba uso sasa kunatuumbua kama nchi
 
All in all muda unakwenda na muda haudanganyi hata siku moja kila jiwe lililoficha siri litainuka na hapo ndipo tutakapoona lisu akibaki ughaibuni kama alivyo slaa Na akapewa ubalozi huko Am waiting that time tatizo sio lisu tatizo ni mfumo wa chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo pamoja
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji111][emoji111]
 
Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019.

Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo haya ni *“Tanzania’s Democratic Challenge.”*

Jenniffer Cooke, The Instute for African Studies (IAfS) Director, ataongoza mazungumzo haya na mgeni mualikwa Ndugu Tundu Lissu.

Tutaendelea kuwajulisha ratiba yake kila siku hadi mwisho wa ziara yake.
View attachment 1013815
View attachment 1013814
View attachment 1013813
Watapata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hafu inakera mtu anapotumia calories kibao kwa hisia huko mjadirishaji ukimuona kabisa kuwa hajadaka point hata moja. Kuvimba uso sasa kunatuumbua kama nchi
Lawama zote ni kwa mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite toka kolomije kwani bila wao kumpiga kwa Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko America, chanzo cha Tatizo ni viongozi wachache huko CCM ambao wana roho mbaya wamekariri kuwa watakuwa madarakani milele na kusahau kuwa walikuwepo viongozi wanyama kuliko wao na leo wapo wapi? Bokassa, Abacha, chiluba, sadam Hussein, Gadafi, mabutu, Iddy Amin dada na yule msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu ambaye alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Daud Arbaty Bashite wapo wapi leo? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom