Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Yeye kaulizwa Kwenye Mahojiano Nani alimdhuru kashindwa kutaja kwa ushahidi Mwenzangu Na Mie unakurupuka kutaja taja majina ya watu pasi Na ushahidi
Ushahidi kamili sii uko kwenye Clip ya CCTV mbayo mnayo? na wahusika na mpango huo sii ni wale wenye authority ya kuwaambia walinzi waondoke lindoni? Yule ni mwanasheria anajua ajibu namna gani maswali ya ushahidi
 
Lawama zote ni kwa mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite toka kolomije kwani bila wao kumpiga kwa Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko America, chanzo cha Tatizo ni viongozi wachache huko CCM ambao wana roho mbaya wamekariri kuwa watakuwa madarakani milele na kusahau kuwa walikuwepo viongozi wanyama kuliko wao na leo wapo wapi? Bokassa, Abacha, chiluba, sadam Hussein, Gadafi, mabutu, Iddy Amin dada na yule msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu ambaye alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Daud Arbaty Bashite wapo wapi leo? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni aibu kubwa.
Mwenye masikio na asikie
 
Ni ujinga mkubwa sana kufananisha Ziara ya Lissu aliyealikwa na Bob Wine aliyeenda kutibiwa

CCM wote wanaweweseka kwanza inaelelekea hawajui kuwa Tundu Lisu anaalikwa automatic hajipeleki kokote bali wenyewe wamemkubali na pia wameichoka CCM na udikteta wake na hawataki kusikia visingizio vya viongozi wenye roho mbaya kwenye Utawala huu wa awamu ya tano ya wasukuma wawili toka kolomije na chato.
 
CCM wote hawana Akili badala ya kuitisha maandamano Nchi nzima wamlaani Daud Arbaty Bashite na kikundi chake kwa kuwasababishia Duniani kote kujua ubaya wa CCM wamekalia kuandika ujinga ujinga wao mitandaoni wakati mchawi wao wapo nae huko huko ccm.
 
Taarifa nilizozipata ni kwamba wauwaji wamechanganyikiwa

Wamemtuma Le mutuz kwenda mataifa mbalimbali yenye utitiri wa imani za kishirikina kuokoteza waganga wa kienyeji kuwaleta huko Dsm wakiamini watawasaidia kumnyamazisha Tundu Lisu.
 
utalii wa nje...hongera sana Mhe kwa kufanya utalii mzuri sana na familia yako.wakati ndiyo huu na wajinga ndiyo waliwao
 
Ule msemo wa ukimpiga chura take,unamuongezea mwendo HAKIKA nimeuamini!

na pia,ule msemo wa Yote mema yawe mazuri au mabaya HAKIKA nao nimeuamini!

Lissu alipata mabaya lakini,katika hayo mabaya amekuja kuwa mtu,Hodari na tishio kuliko mwanzo katika utawala wa Jiwe!

wadhani ATAKUFA lakini ni Kama wqmemuongezea mwendo wa kufikia kweli...

Mungu awe na WEWE Mh;Lissu!

Bila shaka hata swala la Mbowe na mwenzake nalo litageuka mema siku za mbeleni!
coz hakuna aliyejua kuwa,lissu atatoka mzima na hakunaga aliyetambua kuwa. atakuwa mtu wa wapendq haki,kweli na umoja!
Maisha ni upepo ubadilika,Mugabe akutegemea kuna siku atasapoti upinzani ushinde hali yeye ndo kaweka vikwazo akiwa madarakani
 
utalii wa nje...hongera sana Mhe kwa kufanya utalii mzuri sana na familia yako.wakati ndiyo huu na wajinga ndiyo waliwao
Wakati mwingine jitahidi kuficha upumbavu wako kidogo, utalii wa kivipi? Kwani bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga kwa Risasi angekuwa huko leo?
 
Back
Top Bottom