lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,374
Tundu lissu anawachezesha Ngoma ccm Bila mapumziko,mwaka huu watakoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe ni zero mbumbumbu kilaza kingereza hujui unawezaje kujua Tundu Lisu kaongea nini? Acha ungese wako peleka ushamba wako kwa wajinga wenzako kolomije.Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
UKTHY FAIZA FOXY KASHAWAHI SITI YA MBELE KABISA YEYE NI SAFUL AWAL SIO WA THALATHA WALA ARBASeat ya Tatu hapa na mpenzi wangu FaizaFoxy
Ikifika 2021 tutakuja kukumbushana panapo majaaliwa ya Mungu kuhusu Mbio hizi Za Sakafuni Kama Ambavyo tunajikumbusha thread Za Lowassa Za kabla ya Uchaguzi wa 2015 japo wakati huo tulionekana tunasema Uongo!
vip si yule anayejiita mtetezi wa Magufuri Msiba si alisema mke wa Lisu amekuja Tanzania kimya kimya mbona yupo na lisu?
Tabu ipo pale pale....huyoo kawasili Washington. Awamu hii atajibiwa na
1. Mwenyekiti wa taifa
2. Mawaziri wrote
3. Makatibu wakuu
4. Wakurugenzi
5. Polisi
7. Wenyeviti, makatibu na makatibu wenezi wa ngazi zote
100. Walamba nyayo wote
Kama hana hoja kwa nini mnasema asizungumze arudi nyumbani?Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Ni aibu chama na serikali yote kuanza kujibu mijadala isiyo na point.Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Lakini sauti ya kudai kwake Uhuru inasikika UN kupitia vyuo hata na kwako pia,tunashukuru kuwa na wewe unatambua kuwa anadai Uhuru mkuu.Dunia kweli mzunguko. Nyerere alienda kudai Uhuru UN lisu anaenda kudai Uhuru vyuoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu lissu anawachezesha Ngoma ccm Bila mapumziko,mwaka huu watakoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri na bado mtanyooka tu,maana ni mbwekaji kama wewe tu ulivyo mkuu.Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019.
Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo haya ni *“Tanzania’s Democratic Challenge.”*
Jenniffer Cooke, The Instute for African Studies (IAfS) Director, ataongoza mazungumzo haya na mgeni mualikwa Ndugu Tundu Lissu.
Tutaendelea kuwajulisha ratiba yake kila siku hadi mwisho wa ziara yake.
View attachment 1013815