Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Hata kwa COVID-19 kulikuwa na statements nyingi but hazizikusaidia kitu. Mtaumiza sana nafsi zenu but NOTHING will change msimao wa Tz. Wa Tz wahawajawahi kushadidia USHOGA wala Mabebeeu, na inapokuja issue ya USALITI wa Tz hawajawahi kugawanyika. Endeleani kusubiri Meli Airport..
Kulikuwa na statements zisizo na maonyo zenuw kueleza hatua za kuchukuliwa. Sasa kuna statement yenye onyo inayoelezea hatua zitakazochukuliwa
 
Kwa huyu ni vibaya kupiga picha. Wakati Rais anayefeli kila J2 na kuhutubia atapewa nafasi kupiga siasa na kuwatamani wa..K.
Waacheni wafanye wajibu wao. Bora huyu kaenda na familia. Yule hatujamwona nao zaidi ya walinzi.
 
Kulikuwa na statements zisizo na maonyo zenuw kueleza hatua za kuchukuliwa. Sasa kuna statement yenye onyo inayoelezea hatua zitakazochukuliwa

Mkuu hebu jaribu kuwa na japo a sense of humor, confidence na self determination basi. Hata akina M7, PK, and a like, walishapewa statements za hivyo, zimebadilisha nini so far..?? Tz ni Sovereignty State, so it's there to stand. Tz siyo kama Manyumbu yanayopelekwa pelekwa ili yasubmit National Resources..
 
Magufuli ni mkatoliki 2015 alikimbia mbio kwenda kwa Malasusa askofu was Dayosisi ya Pwani amuombee wakati yeye ni mkatoliki .Askofu Malasusa ndie askofu pekee kutoka Lutheran aliyemuombea Magufuli na kumpa baraka Lowasa hakuiomba japo ni mlutheri

Malasusa Askofu ndie pekee alihudhuria sherehe ya kuapishwa Magufuli kuwa Raisi baada ya Askofu mkuu wa KKKT Shoo kugoma kuhudhuria uwanja wa Taifa siku ya kuapishwa Magufuli
Haya ni makalamiko au ni kilio ?
 
Siku ya leo ambayo ni Jumapili ya ibada Mh Tundu Lissu kama walivyo waamini wengine wa dini ya Kikristo amemtukuza Mungu kwa kushiriki ibada takatifu kwenye kanisa la KKKT , usharika wa Azania Front - Jijini Dar es salaam

Magufuli ni mkatoliki 2015 alikimbia mbio kwenda kwa Malasusa askofu wa Dayosisi ya Pwani amuombee kabla kwenda kwa kwa kardinali Pengo wakati yeye ni mkatoliki .Askofu Malasusa ndie askofu pekee kutoka Lutheran aliyemuombea Magufuli na kumpa baraka Lowasa hakuiomba japo ni mlutheri

Malasusa Askofu ndie pekee alihudhuria sherehe ya kuapishwa Magufuli kuwa Raisi baada ya Askofu mkuu wa KKKT Shoo kugoma kuhudhuria uwanja wa Taifa siku ya kuapishwa Magufuli anyway kama Askofu Malasusa hakuweko kwenye hiyo ibada Lisu imekula kwake Askofu Malasusa hakuwepo aliyemuweka Magufuli madarakani kwa niaba ya walutheri wa Dar
 
Haya ni makalamiko au ni kilio ?
Lisu kaenda Moshi angeenda kanisa LA askofu Shoo LA Kilimanjaro .Dar Askofu ni Malasusa chadema mnayemporomooshea matusi ya nguoni na Policarp Pengo kardinali mnayemtukanaa unafiki wenu Dar hauna nafasi
 
Magufuli ni mkatoliki 2015 alikimbia mbio kwenda kwa Malasusa askofu wa Dayosisi ya Pwani amuombee kabla kwenda kwa kwa kardinali Pengo wakati yeye ni mkatoliki .Askofu Malasusa ndie askofu pekee kutoka Lutheran aliyemuombea Magufuli na kumpa baraka Lowasa hakuiomba japo ni mlutheri

Malasusa Askofu ndie pekee alihudhuria sherehe ya kuapishwa Magufuli kuwa Raisi baada ya Askofu mkuu wa KKKT Shoo kugoma kuhudhuria uwanja wa Taifa siku ya kuapishwa Magufuli anyway kama Askofu Malasusa hakuweko kwenye hiyo ibada Lisu imekula kwake Askofu Malasusa hakuwepo aliyemuweka Magufuli madarakani kwa niaba ya walutheri wa Dar
Kwa kuona umuhimu wa walutheri Lissu Ndo mana leo ameenda kusali Azania Front huku yeye akiwa ni mkatoliki
 
Jiwe alivyo na wivu, anaeza sema keshi ni jumapili ili na ye akapigwe picha
 
Back
Top Bottom