Tundu Lissu ashiriki ibada ya Jumapili kwenye kanisa la KKKT - Azania Front

Huyu TAL amefungiwa kufanya kampeni lakini hii ni kampeni " fulani " hivi!
Kwahiyo asisali, asitembelee wagonjwa, asiende sokoni kujitafutia mahitaji, asipande mwendokasi. Kama mimi ningekata tiketi moja asubuhi nazunguka na mwendokasi kutwa nzima. Yaani ni Morocco to Kimara, Kimara to Feri. Feri to Fire. Fire to Gerezani.Gerezani to Kimara au Morocco. Hadi jioni nakuwa nimekutana na mamilioni ya watu. Sasa huyo kawahurumia kaenda kanisani!
 
Lisu na Chadema wanafiki kuna watu waliotukanwa na Chadema kama mkatoliki Kardinali Policarp Pengo na Askofu Malasusa mwenye kiti cha Uaskofu Azania Front? Asante Malasusa kwa kutokuwepo leo
 
Kama Magu ni kweli ameondowa Corona, basi atuondolee Ukimwi na Marelia, yaonekana huyu ana umungu mmoja pamoja na Baba ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.
Ninakuambia hivi mzee alikua anacheza na maisha yetu na msije shangilia jambo kama.hili, yaan kama ugonjwa huu ungelipiga kama ulaya na us watanzania tungekwisha sasa hii ni hatari kwa rais wa nchi kuamini katika super stations.
 
Back
Top Bottom