Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
amesema adhabu ya juu kabisa mbunge kufungiwa no vikao 20
DUUUU I TAKE A BREATH....
amesema adhabu ya juu kabisa mbunge kufungiwa no vikao 20
Hata uchaguzi wa EALA alitoa vifungu vya sheria na kudai atakwenda mahakamani,lakini hakwenda wakaongeza majina.Hiki ndio kichwa pekee katika nchi hii.
Perhaps he is the most intelligent MP so far.
Kwa siasa hizi za Bongo tambaraleHiki ndio kichwa pekee katika nchi hii.
Perhaps he is the most intelligent MP so far.
Well said MkuuHiki ndio kichwa pekee katika nchi hii.
Perhaps he is the most intelligent MP so far.
Wa milembe nao huwa wanadhani sisi wazima ndo vichaa..hahahaha mwezi mchanga
Uwezo wa kufikiri ukifika mwisho ni tatizo kubwa sanaChezea nyumba ndogo ikiguswa iwe ya kiume au ya kike hata wewe ungekuwa wakili wake mbobezi ghafla wakati hata sheria hujawahi soma hata chekechea
Chezea nyumba ndogo ikiguswa iwe ya kiume au ya kike hata wewe ungekuwa wakili wake mbobezi ghafla wakati hata sheria hujawahi soma hata chekechea
Hahahahahahaaaaaa..Kwikwikwi Lisu lini amewahi kushinda kesi yoyote!? Lisu ni mweupe sana.
Kwenye hili atatoka kapa. Mwanasheria gani huyo anaogopa kushitakiwa!?
Mkuu Nucky Thompson asante kwa bandiko hili.amesema adhabu ya juu kabisa mbunge kufungiwa no vikao 20