Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,289
Umekumbukaeeeeeee?Lakini wewe Lissu ni mtundu... {In makinda's voice}
Umekumbukaeeeeeee?Lakini wewe Lissu ni mtundu... {In makinda's voice}
Esther Bulaya alishaonywa kwa kosa lipi kisha akarudia hivyo asipewe nafasi ya kujitetea?Unataka kusema Halima Mdee alimwita tena spika fala?Nioneshe kifungu kwenye kanuni kinachoongelea kuhusu mbunge akirudia kufanya makosa yale yale apewe muda wa kuulizwa. Soma kanuni ya 74 ya bunge umepigilia msumari.
Kwikwikwi miaka hiii mtajibeba.
Bombadier? Teh teh teh!NA ndege za kumpeleka india hatunazo
Hilo unasema haliwezeni. Siyo kwa sababu Lissu hana uwezo wa kupambana katika kugombea Urais 2020, ila ni kwa sababu za ndani ambazo zipo nje ya uwezo wa Tundu Lissu.Mbowe please tangazeni Lissu kuwa kiongozi wa chadema kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa 2020
Wasikilizwe ili waseme nini? Wakati walifanya maovu yaohadharani!?
Umeua.Huyu jamaa ni wa karne ya 30 lakini aliwahishwa ili awepo karne ya 20 na 21 ndiyo maana wajinga wengi wanaoishikilia nafasi hawamwelewi! I wish I kudu bi Igp!
Mbungeni siyo mahakamani ndio maana wanaongozwa na kanuni. Issue unazozileta hapa ni za dunia ya mahakama lakini dunia ya bunge ni tofauti.Umeshaharibu, hivi ukigonga mtu barabarani kafa unapewa hukumu bila kusikilizwa, wale wale nilifikiri we great thinker kumbe ni kina LIZABONI
Bomberdier labda waende na mapipa ya mafuta ndani ya ndegeBombadier? Teh teh teh!
Ngushi, kwa njaa iliyopo kwa sasa buku 7 nyingi, wacha jamaa akazane huwezi jua kinachomsibu.UMebaki kuleta mipasho kama waimba taarabu!
Ameshika sehemu mbaya
Ww ndiyo una ubwabwaja taja vifungu vya sheria kwa hayo unayosemaHivi ile issue ya wabunge wa Africa Mashariki mbona aliangukia pua!?.
Mwambie akafungue hiyo kesi. Ninakuhakikishia hao akina Bulaya na Mdee wanakosa ubunge. Hapo anaongea siasa tu. Mwambie apige hatua yoyote kishitaki. Maana hayo ni maamuzi ya bunge akiwamo yeye.
Hapo anabwabwaja tu.
Vilevile kuwatumikia wananchi siyo lazima uwe raisHilo unasema haliwezeni. Siyo kwa sababu Lissu hana uwezo wa kupambana katika kugombea Urais 2020, ila ni kwa sababu za ndani ambazo zipo nje ya uwezo wa Tundu Lissu.
2020 Siyo mbali subiri utaona. Jamaa ni yupo vizuri tu kichwani na mengine mengi tu, lakini kupitishwa kuwa Mgombea bado ni ndoto. Siasa ni zaidi ya mchezo mchafu
Ndiyo hao hao kina BashiteUmeshaharibu, hivi ukigonga mtu barabarani kafa unapewa hukumu bila kusikilizwa, wale wale nilifikiri we great thinker kumbe ni kina LIZABONI
Mbowe hapa inabidi afanye mabadiliko.Tundu Lissu ndio kiongozi pekee wa upinzani ambaye hajakubali kuufyata, hajakubali kunyamazishwa kijingakijinga!
Chadema ifikirie zaidi kuhusu katibu mkuu wake.. Naweza kusema hafai na hatoshi katika hiyo nafasi!
Hutaki junyonge lkn Lissu ni mwanasheria bora kabisa hapa tanzaniaHapo Lisu anaongea siasa tu za kizamani kujitafutia umaarufu. Anabwabwaja tu hapo.
Tena mapema bila kuchelewa..Mbowe hapa inabidi afanye mabadiliko.
Akili za Bashe ni sawa na akili za wabunge wote wa CCM ukiwaunganisha kwa pamoja.