johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,127
Baba yakoMtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza, nani atashindwa?
Baba yako
Usisahau kuilindaKura yangu nampa TAL. Omba tu akina Jecha wakusaidie. Lakini kwa upande wa kura, ni yeye 2020.
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!!Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT...
Zaidi wanavuna walichopanda,haiwezekani mpande mawe mtegemee kuvuna mahindi.