Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,162
- 27,197
Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza uchumi wa nchi.
Amewaeleza Wananchi hao kwamba msingi wa viwanda vya chuma ni makaa ya mawe ambayo Mungu ameibariki nchi hii hivi sasa yanauzwa nje kwa Kasi ya ajabu.
Chuma tunayo liganga na mchuchuma lakini serikali umeshindwa kuwekeza katika kuchimba chuma umeamua kuuza makaa ya mawe.
Hii kiukweli imenigusa sana Kuna wakati namkumbuka marehemu Magufuli huu upuuzi wa kuuza mali za nchi hii bila kutumia akili vizazi vijavyo watakuja kutulaumu sana.
Serikali wacheni kuuza makaa ya mawe nje ya nchi yatumike kuyeyusha chuma hapa hapa tuuze na kutengeneza msingi wa viwanda vya chuma .nchi hii ni tajiri sana.
Free Tundu Lissu Now.