Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Ulitaka amsifie mtu aliyetaka kumuuwa kwa risasi na kumpa ulemavu? Marehemu Kama angemtendea mema Lisu na Lisu angemsema vibaya hapo tungeona Lisu anatatizo tena kubwa tu. Siyo wewe mtu akutetendee mema na mwingine ubaya alafu ukataka aliyetendewa ubaya asifiye Kama wewe uliyetendewa mema hakuna Upumbavu wa namna hiyo.
Mkuu watu wengine ni unafiki tu. Kwanza ingekuwa ni wao waliopitia yote aliyopitia Lissu pengine wangefanya mambo ya ajabu kwa ajili ya furaha. Hebu jamani tufikirie mateso aliyopata kwa sababu tu ya kumkosoa mtu. Ndiyo watake kumuua tena kwa njia ya kinyama namna ile? Hebu wafikirie na wazazi wa Ben Saanane wako kwenye hali gani? Ben Saanane alifanya kosa gani mpaka astahili kuua? Mtu akihoji elimu yako kama unajiamini kweli utatingishika? Halafu kila Jumapili kwa unafiki anakwenda kupiga magoti mstari wa mbele kwa unyenyekevu huku akihadaa watu eti anamtanguliza Mungu mbele. Mungu ameonyesha hadhihakiwi na mnafiki kama yule.
 
Mkuu acha tu yaani wanataka kila mtu awe mnafiki tu Kama wao.
 
Kaondoka na covid -19. Mfuate kama unaona uchungu ukweli kusemwa! Hili ni muhimu sana kusemwa ili watu wajifunze kutokana na makosa. Kuna mambo mengine hayaitaji kiburi wala ujeuri. Tunaposema kafa kwa covid siyo kama tunafurahia bali tunaonyesha ujweuri ulivyo na gharama mbaya.

Na wewe yale yale tu kama Lisu,nimegundua swali la Shaka hakuna anaeweza kulijibu,kuanzia Lisu mwenyewe na nyinyi wafuasi wake. Narudia tena kukumbushia swal lenyewe hapa “Ukiwa kama Mwanasheria unaweza kuprove Rais alikufa kwa Corona?”. Naomba ujibu straight usilete blah blah,ndugu yako jana alichemka.
 
Naona hapa mmechemka hata watetezi wake,swali la Shaka halijajibiwa kuanzia kwa Lisu mwenyewe hadi kwa nyinyi wafuasi wake.
Hakuna aliyechemka hapa. Aliyeschemka ni huyo aliyekufa kwa covid kwa sababu ya ukaidi na unafiki wake. Ni watanzania wangapi wamekufa kwa covid tangu mwaka jana tena kwa mateso makali kabisa huku yeye akikataza kabisa wanaosema watu wanakufa! Mmesahau watu walikuwa wanazikwa usiku? Yeye kama kiongozi alichaguliwa wa nini? Hujui ni kuongoza watu kwenye majanga kama haya. Na Mungu alivyo mkubwa akaona bora aondoke kwani watu wasio na hatia wanateketea kwa kiburi chake.
 
Na wewe yale yale tu kama Lisu,nimegundua swali la Shaka hakuna anaeweza kulijibu,kuanzia Lisu mwenyewe na nyinyi wafuasi wake. Narudia tena kukumbushia swal lenyewe hapa “Ukiwa kama Mwanasheria unaweza kuprove Rais alikufa kwa Corona?”. Naomba ujibu straight usilete blah blah,ndugu yako jana alichemka.
Kafa kwa covid. Kw ajili ya kiburi na unafiki wake. watu walikuwa wanaangamia yeye anasema hakuna. Kama hakuna covid mbona imemwondoa sasa?
 
Hakuna aliyechemka hapa. Aliyeschemka ni huyo aliyekufa kwa covid kwa sababu ya ukaidi na unafiki wake. Ni watanzania wangapi wamekufa kwa covid tangu mwaka jana tena kwa mateso makali kabisa huku yeye akikataza kabisa wanaosema watu wanakufa! Mmesahau watu walikuwa wanazikwa usiku? Yeye kama kiongozi alichaguliwa wa nini? Hujui ni kuongoza watu kwenye majanga kama haya. Na Mungu alivyo mkubwa akaona bora aondoke kwani watu wasio na hatia wanateketea kwa kiburi chake.

Naona blah blah blah tu hapa,acha nitikise kichwa kama Shaka Ssali jana. Mwanasheria unayejiita Nguli unaulizwa kuprove unachokiongea unaanza hadithi za Nairobi.
 
All hogwash and lies. He is speaking from his stomach but neither from heart of mind. How can he confidently say that Magufuli died of Covid-19 as if he was his doctor of family spokesperson.

This way, we have a bumpy, long and torturous way to go. He thinks the world believes in what he is jabbering. To the contrary, even birds know he is a pathological liar and imperialists are busy abusively using this busybody for his peril. If anything, Lissu is one of those who always have vended Africa for just thirty pieces of metal. What a shame! Shame on you.

If you are a man enough, please come back home and learn what denied frogs tails my friend. If indeed you mean business, please come and see how shocked you will be.
Hii mikwara mbuzi tu. Ndio maana mnaojaribu kuwaua wana-survive na ninyi wauaji mnatangulia. Eti if you are a man enough come back home" upuuzi tu.
 
Mei mosi tunasusia matumizi yoooote ya huduma ya internet kutoka mitandao yote ya simu TZ mpaka washushe bei zao
 
Unambishia Lissu wakati mwenzio ana reliable source ambayo wewe huna ? Kama hujamjua huyo mlinzibaliyekufa na kuzikwa Morogoro useme sio mmoja wamekufa wawili ndugu .
 
Lissu kasema yule anaekaa nyuma yake mara zote ukiacha ADC, kawa specific na watu wanamjua kaonekana kabla na baada ya msiba. Je amefariki lini?
Fact: Magulifu aliacha kuonekana kwenye hadhara tangu tarehe 28.02
Fact: Lissu akahoji yuko wapi kwani ana habari za uhakika kuwa ana covid
Fact: Serikali ikiwemo washabiki maandazi kama wewe mkasema ni mzima na anachapa kazi.
Fact: Baadae ikajulikana ni kweli alikuwa mgonjwa kama alivyosema Lissu na amefariki dunia
Therefore: Tutaachaje kumwamini Lissu aliyesema ukweli tangu mwanzoni , tuamini serikali iliyosema uongo tangu mwanzoni?
 
Naona blah blah blah tu hapa,acha nitikise kichwa kama Shaka Ssali jana. Mwanasheria unayejiita Nguli unaulizwa kuprove unachokiongea unaanza hadithi za Nairobi.
Fact: Magulifu aliacha kuonekana kwenye hadhara tangu tarehe 28.02
Fact: Lissu akahoji yuko wapi kwani ana habari za uhakika kuwa ana covid
Fact: Serikali ikiwemo washabiki maandazi kama wewe mkasema ni mzima na anachapa kazi.
Fact: Baadae ikajulikana ni kweli alikuwa mgonjwa kama alivyosema Lissu na amefariki dunia
Therefore: Tutaachaje kumwamini Lissu aliyesema ukweli tangu mwanzoni , tuamini serikali iliyosema uongo tangu mwanzoni?
 
Wewe unaulizwa swali from the bottom of your heart unaleta hisia za chuki kwa Mwendazake...sijui ni utamaduni wa wapi.....TAL ameonesha alivyo mzandiki na mzushi.
 
Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America.

Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake dhidi ya Rais Magufuli.

Ila kilicho kamata uangalifu wangu ni madai yake yeye Lissu kuwa eti yule aliyekuwa mlinzi wa Rais Magufuli, naye kafa kwa C-19!

Naamini alikuwa anamzungumzia huyu jamaa. Jamaa ambaye ali stand out kati ya waliokuwa walinzi wa marehemu.

View attachment 1739998

Hii picha hapa chini ni baada ya Magufuli kufariki. Hapa walikuwa kanisani [nadhani ni pale kwa Mtakatifu Petro].
View attachment 1739999
Huyu jamaa mpaka kule Chato nilimuona [kama sijakosea].

Sasa, endapo ni kweli amekufa [iwapo Lissu alimaanisha ni huyu], basi jamaa atakuwa amekufa baada ya tarehe 26, Machi 2021.

Lissu kasema “his security officer...the guy that you see...the dark guy that you see behind him all the time...is dead”

Lakini kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? Msikilize mwenyewe ili usiseme labda namzushia au napotosha alichokisema.

Video ya mahojiano ni ndefu. Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 21:10 mpaka 21:36.

Tundu Lissu amechanganyikiwa? Ni nani aliyemwambia kuwa huyo jamaa [kama ndo yeye anayemzungumzia] kafa? Na amekufa lini?

Tuliokuwa tunafuatilia msiba wa Magufuli kwenye runinga tulimuona jamaa. Picha zake nyingi tu za wakati wa msiba zipo mtandaoni na hata humu JF zipo!

How can Tundu Lissu say this so confidently?

Where does he get his information from?

I don’t know about you guys but this is slander.

If I were the guy [don’t know his name], I’d be lawyering up right now, even though Lissu didn’t specifically mention his name, but in my view, the description he gave is sufficient enough to know who he was talking about.

I don’t know much about Tanzanian laws with regards to defamation and slander, but if I were the guy, I’d shoot my shot and sue the hell out of him.

Calumniating people’s deaths is not cool.

Kamtaja jina au ni kiherehere cha Sukuma gang kinakusumbua.
 
Naona blah blah blah tu hapa,acha nitikise kichwa kama Shaka Ssali jana. Mwanasheria unayejiita Nguli unaulizwa kuprove unachokiongea unaanza hadithi za Nairobi.
Lisu mbona kajibu kwa kutumia ushahidi kwa kimazingira kuwa jamaa kafa covid19 au ulitaka aonyeshe pale vyeti vya jiwe kuonesha kuwa ni covid19 Positive?
 
Back
Top Bottom