Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Duuuuu siasa jmn mm napita tu make daaa lissu nae ni noma uchaguz hmwa mwaka huu ni shida San ngoj tutulize ball tusubilie Nan mbabe
 
So? Kwa hiyo Mutungi akiwa wa kwanza kula kinyesi Lissu naye ataiga?
Da! Yaani Nyani umefilisika hivyo? Mutungi akila kinyesi - cha nani sijui - hatutashangaa sana maana watu wana njia nyingi za kujipendekeza kwa Magu. Ila najua Tundu Lissu atashauri astaafishwe na kupelekwa Milembe kwa matibabu.
Sasa kama ni madogo kwa nini mgombea wenu anahangaika nayo?
Yawe makubwa, yawe madogo, Tundu Lissu ana uhuru wa kuamua ajibu nini aache nini. Badala ya kuchambua jibu la Lissu, manawashwa na kwa nini kajibu. Hiyo ni FEMININE LOGIC
 
Wakati mwingine Chadema nao wanatafuta shari ambazo zinaweza kabisa kudhibitika..

Kwani wasingeimba hivyo walivyoimba wangepungukiwa nini?? Au ndio kujua washashindwa so wanatafuta sababu tu

Ndugu, hakuna sheria iliyovunjwa...!!

Tatizo ni nini kwani?

Unawasikiliza hawa kina Mutungi na wenzake waliojibanza kila kona kutafuta na kujaribu kuokoteza chochote cha kubanana na CHADEMA ama ACT - WAZALENDO??

Hapa Mutungi alikuwa anajaribu kujenga hoja nje ya sheria ili aanze kumjaza upepo jiwe aanze kuropoka ropoka...!
 
Back
Top Bottom