Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Mbona kuna sheria inasema ukipigwa wimbo wa taifa hakuna kutembea hadi uishe na hakuna kuweka madoido,kama kuongeza ubeti,,hii ni sheria ya universal right

..wimbo wa taifa una beti mbili.

..sasa cdm waliimba beti mbili kama zilivyo.

..baada ya hapo waliimba wimbo TOFAUTI kukiombea chama chao na viongozi wao.

..mimi naamini hakuna kosa. pia nashauri tusipoteze muda kujadili suala hili, kuna mengi muhimu zaidi ya kujadili.
 
huyu urais atausikia tu redioni watu wakiapishwa yeye aendelee kuropoka tu hana jipya fala huyo
*_KUHUSU NEMBO ZA TAIFA_*

1. National Flag - Bendera
2. National Animal - Twiga
3. Uhuru Torch - Mwenge
4. Coat of Arms - Ngao ya Bibi na Bwana
5. National Anthem - Wimbo wa Taifa

Hizi nembo zote (National Symbols) zinalindwa na sheria yaani (Protected by law) isipokuwa: wimbo wa Taifa pekee ambao haulindwi na sheria.

*_KWANINI IKO HIVI?;_*

Ili kitu kilindwe na Sheria ni lazima kiwe kinamilikiwa kwa asilimia 100. Tanzania haina Umiliki wa 100% wa Wimbo wa Taifa kwa sababu wimbo huu tumeukopa kutoka kwa jamii ya wa *XHOSA*

Baada ya kupata UHURU mwaka 1961, Tanganyika ilianza kuutumia wimbo huu kama *_Wimbo wa Taifa_"* lakini tayari ulikuwa unaimbwa na Jamii ya XHOSA iliyoko Afrika Kusini, na hata baada ya Muungano na Zanzibar, wimbo huu tumeendelea kuutumia. Sheria ya Nembo za Taifa ya mwaka 1971.

Ilitungwa ya kulinda *HAKI MILIKI* (Copyright) ya Nembo zetu za Taifa, haikujumuisha wimbo wa Taifa kwa sababu hatuumiliki kwa 100%, TUMEUKOPA.

Mpaka sasa, wimbo hui unaimbwa kwa lugha ya Kiswahili(Tanzania), Afrika ya Kusini (English) kama kipande cha wimbo wa Taifa lao, pia Zambia .

Wimbo huu ulitungwa na *ENOCH MANKAYI SONTONGA (24)* mwaka 1897 ukipewa jina la "Nkosi Sikelel' iAfrika" yaani, "MUNGU IBARIKI AFRIKA*" na ulitungwa uwe wimbo wa shule lakini ukapendwa na watu wengi na kupata umaarufu na kuwa wa wimbo wa TAIFA lao, kabla hatujaukopi.

Mpaka sasa, hakuna mwenye mamlaka kamili ya wimbo huu kwa sababu, kijana aliyeutunga alifariki mwaka 1905 na hakuna anayemiliki. Ndiyo maana unatumiwa na Nchi tatu(3) tofauti bila marumbano.
 
..wimbo wa taifa una beti mbili.

..sasa cdm waliimba beti mbili kama zilivyo.

..baada ya hapo waliimba wimbo TOFAUTI kukiombea chama chao na viongozi wao.

..mimi naamini hakuna kosa. pia nashauri tusipoteze muda kujadili suala hili, kuna mengi muhimu zaidi ya kujadili.
Mtungi Kama mtungi
 
*_KUHUSU NEMBO ZA TAIFA_*

1. National Flag - Bendera
2. National Animal - Twiga
3. Uhuru Torch - Mwenge
4. Coat of Arms - Ngao ya Bibi na Bwana
5. National Anthem - Wimbo wa Taifa

Hizi nembo zote (National Symbols) zinalindwa na sheria yaani (Protected by law) isipokuwa: wimbo wa Taifa pekee ambao haulindwi na sheria.

*_KWANINI IKO HIVI?;_*

Ili kitu kilindwe na Sheria ni lazima kiwe kinamilikiwa kwa asilimia 100. Tanzania haina Umiliki wa 100% wa Wimbo wa Taifa kwa sababu wimbo huu tumeukopa kutoka kwa jamii ya wa *XHOSA*

Baada ya kupata UHURU mwaka 1961, Tanganyika ilianza kuutumia wimbo huu kama *_Wimbo wa Taifa_"* lakini tayari ulikuwa unaimbwa na Jamii ya XHOSA iliyoko Afrika Kusini, na hata baada ya Muungano na Zanzibar, wimbo huu tumeendelea kuutumia. Sheria ya Nembo za Taifa ya mwaka 1971.

Ilitungwa ya kulinda *HAKI MILIKI* (Copyright) ya Nembo zetu za Taifa, haikujumuisha wimbo wa Taifa kwa sababu hatuumiliki kwa 100%, TUMEUKOPA.

Mpaka sasa, wimbo hui unaimbwa kwa lugha ya Kiswahili(Tanzania), Afrika ya Kusini (English) kama kipande cha wimbo wa Taifa lao, pia Zambia .

Wimbo huu ulitungwa na *ENOCH MANKAYI SONTONGA (24)* mwaka 1897 ukipewa jina la "Nkosi Sikelel' iAfrika" yaani, "MUNGU IBARIKI AFRIKA*" na ulitungwa uwe wimbo wa shule lakini ukapendwa na watu wengi na kupata umaarufu na kuwa wa wimbo wa TAIFA lao, kabla hatujaukopi.

Mpaka sasa, hakuna mwenye mamlaka kamili ya wimbo huu kwa sababu, kijana aliyeutunga alifariki mwaka 1905 na hakuna anayemiliki. Ndiyo maana unatumiwa na Nchi tatu(3) tofauti bila marumbano.
Asante sana kwa elimu hii mkuu,sikua nikijua kuwa hata Zambia nao wanautumia pia sikuwa nikijua kuwa hauna mmiliki kwa sasa.
 
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu

Aisee. Muungwana sharti achuchumae akivuliwa nguo. Mheshimiwa jaji chuchumaa.
 
..Mutungi ameyakuza.

..but, I see your point kuwaTL angeweza kumdharau na kuacha kumjibu.
Tl ni mwanasiasa anapokuwa anajibizana na hao wachumia tumbo katika kipindi cha uminywaji wa vyombo vya habari ... Ndio jamii inapata nafasi ya kumfuatilia zaidi. Kupitia social network na hatimae ana kuwa anaongeza fan base .... So hampaswi kumlaumu jamaa yupo kazini
 
Back
Top Bottom