Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

mnatia huruma nyie wafuasi wake lazima na nyinyi mtakuwa sehemu ya ushoga
Unaandika lugha za kijinga huku ukidhani unawafurahisha wanaokulipa , kumbe wanaodhalilika ni wazazi wako , sisi tunakuchora tu .
 
Uwe na akiba ya maneno, dunia hii ni tambara mbovu. Hata Sudan ya Al-bashir ilikuwa nchi huru lakini uhuru wa pili ulikuja kuwa-dictated kutoka Paris.
Kwa sasa unauona huo uhuru wa pili wa Sudan ?
 
Unaandika lugha za kijinga huku ukidhani unawafurahisha wanaokulipa , kumbe wanaodhalilika ni wazazi wako , sisi tunakuchora tu .
We mama wacha upumbavu ! Wazazi wake wanadhalilikaje ? Yaani uandikayo wewe ndo waona yana maana kwa kila mtu ! Crap !
 
Niliwahi kusema kwenye jamvi hili, baada ya Vikosi vya watu wasiyojulikana a.k.a Magaidi wa Mtukufu kumpiga Risasi Mh.Lissu, kwamba Damu yake na ile ya wote waliokwisha uawa/kupotezwa iko juu ya Ardhi ya Tanzania, Mungu atalipa kisasi kwa niaba yao, mdogo mdogo tutashuhudia kuweweseka kwao! Mungu ni mweza kila chochote juu ya Mbingu na Nchi.
 
Kibaraka huyo.
...Tambua hakuna beberu mwwnye anaipenda Africa..ona kilichotokea Libya,Simalia,Misri Angola na Hata Sydan ukifuatilia utajufunza ving...Hebu ufikilie Congo then utahua nini wanataka haswa wanataka haswa kwa viraka uchwara kama Tundu la Kisu...Kuhusu kilichomtokea kila mtu kinawwza mtokea ili hali ni mpambanaji katika maisha...ila wamwtumia Coincidence tu mnawaingiza watu sio katika sakata lake...but naamin na na muombea aww na upeo mpana na Atambue Watanzania tunataka mtu atakayeipambania Tanzania yeye kama yeye na si kwwnda kuomba msaada uchwala au kuuchongea Tz nje...hatutaki mtu atakayeonekana innocent ulaya..tunataka mtu atakayeoneka innocent kwa watanzania...na atumie watanzania na si hao watchafunzi wa hali ya hewa huko Iraq na wanajaribu kila hali huko irani japo wamemshindwa Syria... Over...mimi sipo pande yoyote ila ukweli lazima ufunuliwe...na si kila mkosoa mpinzani ni ccm au mpongeza serikali ni CCM...ukweli utasemwa na utabaki kusemwa hata mkibisha...
.
Mbona kuna mabeberu ya kiafrika yanawatesa waafrika wenzao? Beberu ni beberu tu haijalisha ana Rangi gani
 
HUYU NI kiherehere sana kwanza huko ulaya ana urafiki na mashoga anataka kutuletea ushoga huku? hatumtaki
We pu.unga mbona unapenda kuongelea ushoga sana? Unawashwa washwa kwenye hiyo shit.hole yako, eeh?
 
Trump anakutana naye kwa mission gani? Do you think mambo ya diplomasia ni rahisi kiasi hicho?
Sisi tunamsubiri September 7th. Mwaka gani?
Kwani amesema anaenda kuonana na Trump?
 
Kwani kabla ya kwenda huko mashoga hawapo hapo Lumumba kina wakipigana na picha na bashite?
HUYU NI kiherehere sana kwanza huko ulaya ana urafiki na mashoga anataka kutuletea ushoga huku? hatumtaki
 
Kwani kabla ya kwenda huko mashoga hawapo hapo Lumumba kina wakipigana na picha na bashite?
mashoga wamejazana pale ufipa na huyo tobo wakamtuma awatafutie mfaziri huko aliko
 
Lissu ni mgonjwa wa akili hilo liko wazi, that's why hata viongozi wa chama chake washastukia, taaratibu wameanza kumnawa asije akawaharibia.
 
Kibaraka huyo.
...Tambua hakuna beberu mwwnye anaipenda Africa..ona kilichotokea Libya,Simalia,Misri Angola na Hata Sydan ukifuatilia utajufunza ving...Hebu ufikilie Congo then utahua nini wanataka haswa wanataka haswa kwa viraka uchwara kama Tundu la Kisu...Kuhusu kilichomtokea kila mtu kinawwza mtokea ili hali ni mpambanaji katika maisha...ila wamwtumia Coincidence tu mnawaingiza watu sio katika sakata lake...but naamin na na muombea aww na upeo mpana na Atambue Watanzania tunataka mtu atakayeipambania Tanzania yeye kama yeye na si kwwnda kuomba msaada uchwala au kuuchongea Tz nje...hatutaki mtu atakayeonekana innocent ulaya..tunataka mtu atakayeoneka innocent kwa watanzania...na atumie watanzania na si hao watchafunzi wa hali ya hewa huko Iraq na wanajaribu kila hali huko irani japo wamemshindwa Syria... Over...mimi sipo pande yoyote ila ukweli lazima ufunuliwe...na si kila mkosoa mpinzani ni ccm au mpongeza serikali ni CCM...ukweli utasemwa na utabaki kusemwa hata mkibisha...
.
Una kibali cha kuishi ndani ya Tanzania wewe?
Maana hata andika yako inaonekana ni mkimbizi wa DRC, kama ni kweli basi tunakushauri,siasa za hapa hazikuhusu..nenda kwenu kusiko na amani ukaishi huko bila amani.
 
sasa wewe hapo unatofauti gani na mchawi ? kushabikia tobo ni uchawi tosha
Kucheza na nguruwe kwenye tope mtachafuka wote halafu nguruwe atachekelea , ngoja nikuache bhana !
 
Lissu ni mgonjwa wa akili hilo liko wazi, that's why hata viongozi wa chama chake washastukia, taaratibu wameanza kumnawa asije akawaharibia.
uongo wa kijinga utakusaidia nini ?
 
Back
Top Bottom