Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Wale wa buku 7 povu ruksa.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
hii habari itamfanya mtu mmoja na vibaraka wake wakose usingizi kabisa.
 
ndugai anahusika vipi na uhuni anaofanya huyo kitobo maana akiitwa huku anasema anaumwa halafu anaenda ulaya kusapot mashoga anataka atuletee mashoga huku?
Silaha pekee ya masikini ni matusi na uchawi .
 
Naomba kujua kosa la T Lisu ni lipi hata ahukumiwe kufa kwa kupigwa risasi nyingi tuu!!
Hiyo roho ya chuki asili yake sio Tz yetu ya amani!!
Jimilikishe kila kitu tuachieni uhai wetu!!
Lisu akisema ukweli mjibuni kwa hoja sio risasi!!
WaTz tuna haki ya kusema uchafu inaofanywa ma watawala.
Jibu kwa hoja sio risasi!!
 
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Nyota ya Lissu kila ukijaribu kuifuta ndio kwnza inazidi kung'ara.

Mungu ameshambariki Lissu.
 
we acha kumchosha mungu na hadithi zako huyo tapeli anasema anaumwa mara anafanya ziara aelewekeje sasa?

Kwani anaumwa tumbo la kuharisha, wagonjwa wangapi wa viungo tuko nao huku mtaani na badi wanarudi mara moja kwa wiki au mwezi hospitali kuendelea na matibabu? Ingekuwa anaumwa ebola ndio tungeshangaa yeye kuwa mtaani badala kuwa kwenye quaranteen. Kama huna hoja kaa kimya dogo.
 
Wale majamaa waliotaka kumwua Lissu pale area D. walivaa kama avatar yako je ulikuwa miongoni wa walenga shabaha??
Pimeni kauli zenu!!! Ukipelekwa kwenye maeneo husika kudhibitisha hili bila ubabaishaji utaweza!?
 
Back
Top Bottom