Wale ni WAPUMBAVU Sana in capital letters....hela imeliwa na kina bashite kwa mambo ya kijinga kabsa ikiwa nipamoja na kununua madiwani na wabunge( kina mnyeti na bashite) wametajilika Sasa hiviVipi wale waliokula trillion 1.5 wakataka kumtoa kafara CAG