Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .
Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .
Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Duh...inaelekea Ndugu yetu huyu amepona na yuko vizuri...ila najiuliza kama ni hivyo alishindwa nini kurudi TZ na kuhudhuria hata kikao kimoja cha Bunge??