Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Wamarekani wako busy na mwizi wa kura Donald trump.

Issue no impechment.

Waingereza na wajerumani wako busy na brexit, so huyu anaenda kukutanishwa na wale wanafiki wapanga mikakati ovu kwa raslimali za nchi maskini.
Ili waje kumtumia hapa kwetu,na tunajua engineer wa the whole plan ni nyalandu na ile kampuni yake ya mwiba wagombea vitalu.

Stay tuned
 
Kanyaga twende komredi Lissu, Mungu aliyekuokoa ktk mikono ya wale wauaji atakulinda pia dhidi yao wanaopigana vita ya mwili na damu
 
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu

anakwenda kukutana na mabeberu
 
Kibaraka huyo.
...Tambua hakuna beberu mwwnye anaipenda Africa..ona kilichotokea Libya,Simalia,Misri Angola na Hata Sydan ukifuatilia utajufunza ving...Hebu ufikilie Congo then utahua nini wanataka haswa wanataka haswa kwa viraka uchwara kama Tundu la Kisu...Kuhusu kilichomtokea kila mtu kinawwza mtokea ili hali ni mpambanaji katika maisha...ila wamwtumia Coincidence tu mnawaingiza watu sio katika sakata lake...but naamin na na muombea aww na upeo mpana na Atambue Watanzania tunataka mtu atakayeipambania Tanzania yeye kama yeye na si kwwnda kuomba msaada uchwala au kuuchongea Tz nje...hatutaki mtu atakayeonekana innocent ulaya..tunataka mtu atakayeoneka innocent kwa watanzania...na atumie watanzania na si hao watchafunzi wa hali ya hewa huko Iraq na wanajaribu kila hali huko irani japo wamemshindwa Syria... Over...mimi sipo pande yoyote ila ukweli lazima ufunuliwe...na si kila mkosoa mpinzani ni ccm au mpongeza serikali ni CCM...ukweli utasemwa na utabaki kusemwa hata mkibisha...
.
Hukuulizwa uko upande upi na wala hatuhitaji kujua uko upande gani.
 
Kwenye ukweli usemwe,,maana ukweli utatuweka huru,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Hakuna watu wabaya kuliko mabeberu kama viongozi hawa wa Afrika,,,,Tusipende kuweka visingizio vya ubeberu katika udhaifu wa viongozi wetu,,,,, Hivi beberu ndiye kaharibu soko la zao la korosho,,hivi beberu ndiye kaharibu soko la mbaazi,,,,,hivi beberu ndiye kashindwa kufanya uwekezaji kwenye kilimo, kwa miaka 50 ,badala yake amesema mjenge Reli kwenda Mwanza ,, badala ya kuelekea Mbeya ,,Zambia na Congo ya,,Lubumbashi Kwenye mizigo mingi kuliko huko Congo ya kisangani? Hivi huyo beberu ndiye anayefanya mpigine risasi kwa sababu tu ya hoja za Demokrasia na Haki za binadamu,,. Ndugu yangu,,..Duniani nchi nyingi zimesonga mbele sana Kimaendeleo mbele ya huyo unayemwita beberu/Ubeberu,,,,,,,,,,,,,,,South Korea, Malaysia, Singapore, Hong-kong, Taiwan, Thailand, China, India, Vietnam, UAE,,,

Tatizo letu ni viongozi wanaojifanya Miungu watu kwa sababu tu ya kuwa Maraisi wa nchi,,,,,Hawataki demokrasia ya kweli, hawataki haki za binadamu zitamalaki, wabinafsi,wachoyo, wana roho mbaya,,,,,,,,na Makatili,,,,Nchi haiongozwi kwa majaribio,,,,
Hivi kuna shida gani kwa kiongozi kuruhusu uhuru wa kidemokrasia katika kuchagua viongozi ndani ya nchi yake,,na kama watu anampenda na kuamini ayafanyayo si watampa nafasi tena,,,kwanini wanataka kung'ang'ania madaraka wakati tunawaona hakuna cha maana wanachoweza kufanya ili kulivusha taifa kwenye maendeleo makubwa ya kama Singapore?
Hivi kweli unataka kutuambia kwamba huo ubeberu ndiyo uliofanya Gadafi afiche zaidi ya Tillioni 80 Ulaya na Marekan?
Hivi kweli ni huo ubeberu Uliofanya Gadafi akaifanya Libya kama nchi aliyorithi kutoka kwa wazazi wake,, na kuwafanya wananchi wake kama wanyama/Watumwa? Au wewe kwa uelewa wako nchi ni mali ya nani?
Tatizo la Congo ni wakongo wenyewe,,,,Tunaweza kutoboa,, na kufanikisha taifa kuwa la maendeleo na haki,,,cha muhimu tusiabudu viongozi,,kwa sababu viongozi hawawi malaika kwa kupata uongozi,,,ni bainadamu wale wale kama sisi na wanamapungufu makubwa kama tuliyonayo, sisi(concept of check and balance comes in because of our human weakness) ,ndio maana watu lazima wawakosoe viongozi wao,,,Demokrasia ya kweli ikiruhusiwa itakuwa neema kwa taifa na kwa maendeleo ya nchi yetu,,,,,Ubeberu si mbaya ukifananisha na viongozi wa Afrika,,,,,,,,,,,,,,
Demokrasia ya kweli, haki za binadamu, uongozi wa sheria zilizo bora, uimara wa mihimili ya serikali katika kucheck na kubalance, Mfumo wa Utawala wa Westiminister (Parliamentary Government), Vyama imara vya upinzani vyenye uwezo wa kucheck na kubalance ndio tunu pekee za kuipeleka Afrika dunia ya kwanza mahali bora katika miaka michache ijayoooo (Kwa hili Ghana inaonyesha njia chini ya Raisi Mwanasheria /Wakili Akufo nana ADDO, Otherwise mtaendelea kumtafuta mchawi wa maendeleo ya Afrika,,,mtamsingizia Beberu, mtasingiza laana, matsingizia resorce Curse(laana ya mali nyingi) Mtasingizia udikteta, Mtasingizia hali ya hewa, mtasingiza Word Bank na IMF,, mtasingizia mchina,,,,,,,,,,,,,,,,na viongozi wenu watakuwa hawawajibiki kwa kisingizio cha huyo huyo beberu,,, viongozi wenu watakuwa wanaiba mali zenu na kuzipeleka Ulaya,, mkiuliza kwanini hampigi hatua ,,watasingizia huyo huyo beberu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kazi kwenu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,hata Mwalimu Nyerere kiongozi wenu aliposema ili tuendelee,,hakusema tupambane na beberu,,,, na kwamba kama yupo hatuwezi kuendelea. Tanzania siyo kisiwa,,itashirikiana n wenzake ili kupiga hatua za kimaendeleo,,,hata wakati wa utawala wa Kilwa empire,,ilishirikana na mataifa mengine na kupiga hatua kubwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Akili mukichwa nimemaliza......................Mungu akusaidie,,akupe maarifa,,na aendelee kukufunua ubongo ili ujue kweli,,na ikuweke huru.
 
Ndugu hawo hata uwaeleze vipi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Wamejilisha maneno ya kipumbavu kila mda ni kumsingizia beberu wakati huo huo yote anayoyafanya yanatokana na beberu kwanini hawapingi hata vya beberu kama kweli ni marijali wasiotegemea beberu.
 
Kibaraka huyo.
...Tambua hakuna beberu mwwnye anaipenda Africa..ona kilichotokea Libya,Simalia,Misri Angola na Hata Sydan ukifuatilia utajufunza ving...Hebu ufikilie Congo then utahua nini wanataka haswa wanataka haswa kwa viraka uchwara kama Tundu la Kisu...Kuhusu kilichomtokea kila mtu kinawwza mtokea ili hali ni mpambanaji katika maisha...ila wamwtumia Coincidence tu mnawaingiza watu sio katika sakata lake...but naamin na na muombea aww na upeo mpana na Atambue Watanzania tunataka mtu atakayeipambania Tanzania yeye kama yeye na si kwwnda kuomba msaada uchwala au kuuchongea Tz nje...hatutaki mtu atakayeonekana innocent ulaya..tunataka mtu atakayeoneka innocent kwa watanzania...na atumie watanzania na si hao watchafunzi wa hali ya hewa huko Iraq na wanajaribu kila hali huko irani japo wamemshindwa Syria... Over...mimi sipo pande yoyote ila ukweli lazima ufunuliwe...na si kila mkosoa mpinzani ni ccm au mpongeza serikali ni CCM...ukweli utasemwa na utabaki kusemwa hata mkibisha...
.
Huna hoja unasahau kuwa mabwana zako ndiko wanakokopa kila uchwao na hivyo deni la taifa kupaa siku hadi siku
 
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Alikutana na Trump?
 
mkuu wanakulipa kiasi gani daily kuleta habari za uongo hapa jukwaani?
 
Back
Top Bottom