Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Eti kama atakua na Rais Trump au lah!!
Bangi bana.
 
Embu mkuu jivue ukada kidogo. Unataka kusema kuwa waamerika wamebadilika sasa wanampokea Lissu with Free Lunch without any payment in Kind.? Please embu tuambie kidogo ili Nasi tujipeleke.

..mbona Prof.Kabudi kaonana au kakutana na Donald Trump na haikuwa shida?

..waliokosea ni wale waliopanga na kutekeleza jaribio la mauaji dhidi ya TL.

..na jeshi la Polisi kutokuonyesha interest ya kuchunguza na kuwatia nguvuni wahusika, na serikali na bunge kumnyima haki zake.

..kabla TL hajashambuliwa hatukuwahi kumsikia akisafiri mara kwa mara nje ya nchi.
 
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Nafikiri anaenda kumalizia mazungumzo na yule Senator Shoga wa Democratic. Hivi anaitwa nani vile?
 
Kwani hapa anaetakiwa kuona aibu yupi alikaa nyumbani kwake au anaezurula majumbani kwa watu??
Huyo anyezurula majumbani kwa watu si tu anatakiwa kuwa na aibu bali pia ni mburula wa kwanza. Kwenda kwa majirani ruksa. Kurudi nyumbani eti daktari hajamruhusu! Huyo ana akili kweli?
 
ndugai anahusika vipi na uhuni anaofanya huyo kitobo maana akiitwa huku anasema anaumwa halafu anaenda ulaya kusapot mashoga anataka atuletee mashoga huku?

Shoga huwa aletwi mkuu ni anakuwepo tu hata ukiweka sheria ya kunyonga hivi nikuulize kwan tanzania akuna mashoga unavyothani
 
Huyo anyezurula majumbani kwa watu si tu anatakiwa kuwa na aibu bali pia ni mburula wa kwanza. Kwenda kwa majirani ruksa. Kurudi nyumbani eti daktari hajamruhusu! Huyo ana akili kweli?
Hahahahahaaa😅😅apimwe mkojo
 
Back
Top Bottom