Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Kucheza na nguruwe kwenye tope mtachafuka wote halafu nguruwe atachekelea , ngoja nikuache bhana !
tangiapo mmeshachafuka tayari unafikiri kuambatana na mr. tobo si tarari keshawachafua na kashfa ya ushoga
 
tangiapo mmeshachafuka tayari unafikiri kuambatana na mr. tobo si tarari keshawachafua na kashfa ya ushoga
Mimi naomba unisaidie maana unaelekea unaujua ushoga ndani nje. Inawezekana wewe ni shoga mzoefu uliyetendwa.
 
Kwa akili yako unafikiri Trump anamsubiri Tundu Lissu ndiyo ajue kinachoendelea Tanzania?
Ni mara mia ajue kuwa huko Tanzania hakuna demokrasia, Uhuru wa kufanya siasa kwa mpinzani haupo tena, wasiojulikana wanatamba na kasi ya kuwabambikia kesi wapinzani imeongezeka zaidi na zaidi.
 
mashoga wamejazana pale ufipa na huyo tobo wakamtuma awatafutie mfaziri huko aliko
Tuma japo picha moja inayomuonesha kiongozi WA chadema aliyepiga picha na shoga.
 
Tundu lisu tushampoteza Ivo kwenye ulimwengu wa siasa kabaki kuwa mzurulaji tu Hana la maama alilobakiza
 
Ulishawahi hata kupigwa risasi hata moja maishani mwako? Ni kipi alichokukosea wewe binafsi Tundu Lissu? Au nikipi alicholikosea Taifa Tundu Lissu kupita Rostam,kupita Change,kupita Rugemalira,kupita Patel hawa wote pamoja na Ngurumo aliyempelekea milioni 900 za escrow Ikulu kwa Jakaya mbona wapo salama salimini. Kosa la Tundu Lisu nilipi mpaka astahili kuuwawa kikatili mchana KWEUPE? Na mkapa aliyejimilikisha mgodi wa makaa ya mawe kiwira yeye na familia yake unamchukia Kama Tundu Lissu?
Mkuu usimutetee huyu kiumbe kiukwel kwa Sasa Hana Cha maana katika mambo ya kisiasa Zaid ya ntalalila tu.. chamsingi mungu azidi kumpa afya njema tu Ila kisiasa ndo ashapotea ivo yani
 
Kibaraka huyo.
...Tambua hakuna beberu mwwnye anaipenda Africa..ona kilichotokea Libya,Simalia,Misri Angola na Hata Sydan ukifuatilia utajufunza ving...Hebu ufikilie Congo then utahua nini wanataka haswa wanataka haswa kwa viraka uchwara kama Tundu la Kisu...Kuhusu kilichomtokea kila mtu kinawwza mtokea ili hali ni mpambanaji katika maisha...ila wamwtumia Coincidence tu mnawaingiza watu sio katika sakata lake...but naamin na na muombea aww na upeo mpana na Atambue Watanzania tunataka mtu atakayeipambania Tanzania yeye kama yeye na si kwwnda kuomba msaada uchwala au kuuchongea Tz nje...hatutaki mtu atakayeonekana innocent ulaya..tunataka mtu atakayeoneka innocent kwa watanzania...na atumie watanzania na si hao watchafunzi wa hali ya hewa huko Iraq na wanajaribu kila hali huko irani japo wamemshindwa Syria... Over...mimi sipo pande yoyote ila ukweli lazima ufunuliwe...na si kila mkosoa mpinzani ni ccm au mpongeza serikali ni CCM...ukweli utasemwa na utabaki kusemwa hata mkibisha...
.
Ushauri wa bure kwako: Wewe ungekoroga tu sumu unywe make inaonekana huyu jamaa anawatesa sana.
 
Unapenda nn sasa kwangu nikuzalishe au?? Kuwa wazi maisha ndio haya haya
bichwa likishakua tope tupu linatoa maushuzi kuna kitu cha kupenda tena?Utawezaje kuzaa wakat ni mentallysick au unafikiri kuzaa ni sawa nà unavyoenda kupuu?pumbavu
 
Kibaraka ni Jiwe anayeua watu
Kibaraka huyo.
...Tambua hakuna beberu mwwnye anaipenda Africa..ona kilichotokea Libya,Simalia,Misri Angola na Hata Sydan ukifuatilia utajufunza ving...Hebu ufikilie Congo then utahua nini wanataka haswa wanataka haswa kwa viraka uchwara kama Tundu la Kisu...Kuhusu kilichomtokea kila mtu kinawwza mtokea ili hali ni mpambanaji katika maisha...ila wamwtumia Coincidence tu mnawaingiza watu sio katika sakata lake...but naamin na na muombea aww na upeo mpana na Atambue Watanzania tunataka mtu atakayeipambania Tanzania yeye kama yeye na si kwwnda kuomba msaada uchwala au kuuchongea Tz nje...hatutaki mtu atakayeonekana innocent ulaya..tunataka mtu atakayeoneka innocent kwa watanzania...na atumie watanzania na si hao watchafunzi wa hali ya hewa huko Iraq na wanajaribu kila hali huko irani japo wamemshindwa Syria... Over...mimi sipo pande yoyote ila ukweli lazima ufunuliwe...na si kila mkosoa mpinzani ni ccm au mpongeza serikali ni CCM...ukweli utasemwa na utabaki kusemwa hata mkibisha...
.
 
bichwa likishakua tope tupu linatoa maushuzi kuna kitu cha kupenda tena?Utawezaje kuzaa wakat ni mentallysick au unafikiri kuzaa ni sawa nà unavyoenda kupuu?pumbavu
Mm ww nakuzalisha bila shida hofu yako na mtoto nitatunza..we ridhia nikuonyeshe dudu la yuyuu
 
Lisu ana roho ya msamaha sana, sipati picha kama ningekuwa mimi hii serikali ingeona kila rangi na wengine wangekimbilia Rwanda kwa washkaji zake
 
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
WANAMPA NAULI AU ANAJILIPIA
 
Back
Top Bottom