Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Mkuu, wewe uliamini kuwa lisu angekutana na Trump?!
kwa mfano ukiletewa ushahidi wa Lissu The Great kukutana na Trump na kubadilishana mawazo utakuwa tayari kuamini au utasema photoshop ?
 
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Mbwembwe zote ziliishia wapi?
 
Naomba kujua kosa la T Lisu ni lipi hata ahukumiwe kufa kwa kupigwa risasi nyingi tuu!!
Hiyo roho ya chuki asili yake sio Tz yetu ya amani!!
Jimilikishe kila kitu tuachieni uhai wetu!!
Lisu akisema ukweli mjibuni kwa hoja sio risasi!!
WaTz tuna haki ya kusema uchafu inaofanywa ma watawala.
Jibu kwa hoja sio risasi!!
Alikoswakoswa kuuwawa na "mabeberu."
 
Back
Top Bottom