Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

..Prof.Kabudi kaenda Marekani kwa gharama za walipa kodi hakuna aliyetia neno.

..sasa hii habari ya TL, ambayo hata haijathibitishwa kuwa ni kweli, naona vijana wa mataga wamefura kwa hasira.

..hata kama ni kweli atakwenda Marekani, si anakwenda kwa gharama zake mwenyewe?

..Na kama ametoroka hospitali, wewe kijana wa mataga inakuuma nini?
Walimnyang'anya fedha za ubunge walidhani atakosa nauli?? wachawi hawanaga akili nzuri.
 
Kutembeza bakuli tu na kulia lia
Mbona Kabudi katoka huko kulialia na kutembeza bakuli? Mmemdhulumu mkulima wa kizungu kwa njia haramu na za kienyeji kwa kutumia gharama kubwa zaidi
 
Huyu jamaa ni mjinga sana,anamiliki Id zaidi ya 20 humu...CCM wasivyo na akili hata namna ya kutofautisha uandishi hawawezi!

Watetezi wa CCM wengi wapo Ghetto kwa cyprian Musiba na Le mutuz na idadi kubwa ni vilaza mbumbumbu achiliabali kukaririshwa vya Akili ndogo za Le mutuz lazima wataandika vioja tu hakuna namna.
 
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Jiwe asichojua ni kwamba Lissu ni mpambanaji halisi! Harudi nyuma!
Hataacha kupambania haki hadi mwisho!

Kila la heri Lissu! Huyu shetani sio wa kumchekea!
 
Mhh Mbona tuliambiwa amezuiwa kuingia bunge la USA

Ila asiende kuisema vibaya nchi yake
Mliambiwa hivyo wakati mnakuna Nazi?
tapatalk_1569822541986.jpeg
 
Kuna sayari mpya K2-18b imegunduliwa anaweza akaenda hata huko hayatuhusu tena nasikia ina uwezekano wa kusupport viumbe kama yeye
 
bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mliambiwa hivyo wakati mnakuna Nazi?View attachment 1223117
Bila CCM kung’oka hakutakuwa na maendeleo kamwe, maana sasa eti maendeleo ni msaada ni hisani, wajibu wa Serikali umegeuka kwa ni misaada, CCM bila aibu wanasema wameleta maendeleo wakati hivyo vimaendeleo kiduchi ni pesa za walipa kodi na ni wajibu wao lakini wanageuza ionekane kuwa maendeleo ni pesa binafsi za CCM na uongozi wake.
 
Ulishawahi hata kupigwa risasi hata moja maishani mwako? Ni kipi alichokukosea wewe binafsi Tundu Lissu? Au nikipi alicholikosea Taifa Tundu Lissu kupita Rostam,kupita Change,kupita Rugemalira,kupita Patel hawa wote pamoja na Ngurumo aliyempelekea milioni 900 za escrow Ikulu kwa Jakaya mbona wapo salama salimini. Kosa la Tundu Lisu nilipi mpaka astahili kuuwawa kikatili mchana KWEUPE? Na mkapa aliyejimilikisha mgodi wa makaa ya mawe kiwira yeye na familia yake unamchukia Kama Tundu Lissu?
HUYU NI kiherehere sana kwanza huko ulaya ana urafiki na mashoga anataka kutuletea ushoga huku? hatumtaki
 
Bila CCM kung’oka hakutakuwa na maendeleo kamwe, maana sasa eti maendeleo ni msaada ni hisani, wajibu wa Serikali umegeuka kwa ni misaada, CCM bila aibu wanasema wameleta maendeleo wakati hivyo vimaendeleo kiduchi ni pesa za walipa kodi na ni wajibu wao lakini wanageuza ionekane kuwa maendeleo ni pesa binafsi za CCM na uongozi wake.
Wanachosifu hawa washamba ni sawa na kuisifia ATM kwa kukutolea hela.
 
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Sasa ndio anadhihirisha uhalisia wake!😎 aende tuu ! Trump yuko taabuni akikabiliwa na impeachment! Ndugai hakukosea kumtimua bungeni!
 
Back
Top Bottom