Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Tundu Lissu aanza Ziara nchini Marekani

Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Hawezi kutana na Trump. Trump ni Nationalist. Mambo ya wengine hana time nayo. Labda awe na maslahi.
 
Habari ya ziara hii itawatesa sana wale wote walioshiriki kupanga, kufadhili , kutekeleza na kusaidia kuzuia uchunguzi wa washiriki wa shambulizi dhidi ya Mh. Tundu Lissu pale area D mjini Dodoma, Tanzania.

More info :

Tanzanian Opposition Leader Tundu Lissu Enlists International Law Firm Amsterdam & Partners LLP
By Editor | Published: October 2, 2019


The following press release was distributed to media today:

WASHINGTON, DC 27 September 2019 – Tundu Lissu, the Tanzanian opposition figure, Member of Parliament, and chief whip for the CHADEMA party, has retained the international law firm of Amsterdam & Partners LLP to defend his constitutional and internationally guaranteed rights as he prepares to return home after two years spent abroad recovering from an attempt on his life.

On 7 September 2017, Mr. Lissu, an outspoken critic of the regime of President John Magufuli, was brutally attacked by unknown gunmen in his car on his way home from parliament. The gunmen fired some 38 rounds into the vehicle, and Mr. Lissu narrowly survived despite more than 16 bullet wounds to his abdomen, arms, and legs.

As part of this engagement, Amsterdam & Partners LLP will explore options for legal action in international jurisdictions to vindicate Mr. Lissu’s internationally recognized rights and bring pressure against state officials allegedly involved in unlawful activity.

“There are very few leaders we see these days who display such uncompromising courage and integrity in the face of adversity, so we’re proud to work with Tundu Lissu to help raise awareness of his situation and the unlawful campaign to repress rights and political freedoms presently in Tanzania,” said Robert Amsterdam, founding partner of Amsterdam & Partners LLP.

Mr. Lissu explains his retention of Amsterdam & Partners LLP as crucial to hold the government to account.

“Unfortunately as my experience has shown, the current leadership of the United Republic of Tanzania appear to feel that they are above the law. So we are sending a very clear message – there will be consequences for misconduct,” Mr. Lissu said. “We are looking forward to working on a range of issues with Mr. Amsterdam, who has vast experience in these matters, having represented opposition political leaders such as Bobi Wine in Uganda.”

Amsterdam & Partners LLP is an international law firm engaged in matters and representations globally and throughout Africa, Asia, and Latin America. Most recently the firm has represented opposition Ugandan Member of Parliament Robert Kyagulanyi (Bobi Wine), as well as the former President of Zambia Rupiah Banda, the Governor of Kaduna State (Nigeria) Nasir El-Rufai, and the former Governor of Akwa Ibom (Nigeria) Godswill Akpabio. Previously, Mr. Amsterdam represented the Red Shirt pro-democracy movement in Thailand and succeeded in having the Prime Minister indicted for overseeing violence against protesters.

Amsterdam & Partners LLP maintains offices in Washington DC and London, and is presently engaged in more than a dozen countries around the world. More information about Amsterdam & Partners LLP can be found at amsterdamandpartners.com.
Source : https://robertamsterdam.com/tanzani...nternational-law-firm-amsterdam-partners-llp/
Huu muandiko hausomeki Mkuu.
 
Hii ni taarifa ambayo ameitoa yeye mwenyewe , amesema ziara hiyo haina tofauti na ziara zingine zile alizozifanya awali ambapo amedai atakuwa ziarani kwa wiki 2 .

Taarifa hiyo inadokeza kwamba tarehe 7 - 9 ya mwezi huu atakuwa Washington DC , bado haijafahamika rasmi kama atakutana na Rais Trump au la .

Mungu Mbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Yule Baba akisikia hatopata usingizi leo kabisa
 
..mbona Prof.Kabudi kaonana au kakutana na Donald Trump na haikuwa shida?

..waliokosea ni wale waliopanga na kutekeleza jaribio la mauaji dhidi ya TL.

..na jeshi la Polisi kutokuonyesha interest ya kuchunguza na kuwatia nguvuni wahusika, na serikali na bunge kumnyima haki zake.

..kabla TL hajashambuliwa hatukuwahi kumsikia akisafiri mara kwa mara nje ya nchi.
Mkuu Ile picha ni ya kutengeneza.
 
Jembe on the ACTION..MEKO JIWE LAZIMA ADATE
FB_IMG_1568838848915.jpeg
 
..Prof.Kabudi kaenda Marekani kwa gharama za walipa kodi hakuna aliyetia neno.

..sasa hii habari ya TL, ambayo hata haijathibitishwa kuwa ni kweli, naona vijana wa mataga wamefura kwa hasira.

..hata kama ni kweli atakwenda Marekani, si anakwenda kwa gharama zake mwenyewe?

..Na kama ametoroka hospitali, wewe kijana wa mataga inakuuma nini?
 
..Prof.Kabudi kaenda Marekani kwa gharama za walipa kodi hakuna aliyetia neno.

..sasa hii habari ya TL, ambayo hata haijathibitishwa kuwa ni kweli, naona vijana wa mataga wamefura kwa hasira.

..hata kama ni kweli atakwenda Marekani, si anakwenda kwa gharama zake mwenyewe?

..Na kama ametoroka hospitali, wewe kijana wa mataga inakuuma nini?

Kwanza bila kikundi cha Bashite kumpiga Risasi leo hii angekuwa Dodoma na kusingekuwa na mjadala huu leo
 
Ulishawahi hata kupigwa risasi hata moja maishani mwako? Ni kipi alichokukosea wewe binafsi Tundu Lissu? Au nikipi alicholikosea Taifa Tundu Lissu kupita Rostam,kupita Change,kupita Rugemalira,kupita Patel hawa wote pamoja na Ngurumo aliyempelekea milioni 900 za escrow Ikulu kwa Jakaya mbona wapo salama salimini. Kosa la Tundu Lisu nilipi mpaka astahili kuuwawa kikatili mchana KWEUPE? Na mkapa aliyejimilikisha mgodi wa makaa ya mawe kiwira yeye na familia yake unamchukia Kama Tundu Lissu?

Vipi wale waliokula trillion 1.5 wakataka kumtoa kafara CAG
 
akutane na Trump,itakuwa vizuri sans
Ni mara mia ajue kuwa huko Tanzania hakuna demokrasia, Uhuru wa kufanya siasa kwa mpinzani haupo tena, wasiojulikana wanatamba na kasi ya kuwabambikia kesi wapinzani imeongezeka zaidi na zaidi.
 
Back
Top Bottom