Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Unajua mkuu watu wenye Elimu walao ya level fulani tunawa expect kuwa na professional Arguments, nimefurahi kuwa umetumia neno Mzuka. Lissu anaweza ku argue baadhi ya sehemu ila kama umekaa na majority ya civilised societies arguments zake zinachukuliwa kama irritants.Na ndo maana Steve katumia inflamatory allegations. Hata Individual issues wazungu hawachukui mzuka hata kidogo in most of their cases .sasa kwa level ya Lissue tena lawyer wanamuona kama kituko mbele ya kamera .Stephen amemuuliza maswali mengi sana akabaki kushusha mzuka, kwa sisi waafrica mzuka unaweza kuchangia mtu kupata side ila kwa hawa watu ni tofauti sana.Lissu ana argue very very unprofessionally and i fail to understand this.
Yaani Lisu anaongea na Stephen Sackur kama anaongea na mchungaji Msigwa pale ufipa, duh. Jamaa kajidhalilisha kweli na kiherehere chake. Ameshampa nguvu Ndugai kummaliza kabisa.
 
Sasa unabisha nini?Yaani unataka nione kama uonavyo wewe?Mbona unateseka na maono yangu????
Lissu mzalendo wa kweli asiye mnafiki![/QUOT) Yule sio mwandishi kanjanja kama Wale wala mihogo wa Tanzania Daima
 

Attachments

  • IMG-20190122-WA0037.jpg
    IMG-20190122-WA0037.jpg
    81.6 KB · Views: 28
Najua huko aliko nyuma ya nondo anawaza kummaliza Lissu kisiasa na anajuta kwanini Lissu amepata nafasi ya kuongea na Media kubwa duniani,anaiona shida inayokuja mbeleni kwa mustakabali wa Chama,Lissu anajijengea wigo na umaarufu mbele ya wanachama ili aipoke nafasi ya mwenyekiti na ugombea uraisi ameshawashtukia wana kindai kuwa wana dalili zote za kutaka kukivuruga chama kama alivyomsikia mwana kindai mwingine akisema mchakato wa mgombea uraisi ndani ya chadema lazima uwe wazi,
Hivi sasa ni Chadema inamtegemea Lissu kuliko hapo mwanzo Lissu alipokuwa anaitegemea Chadema
Lissu sasa ni maarufu kuliko hata Chairman na hata mtu yeyote ndani ya Chadema
Lissu kwa umaarufu alioupata anaweza kuweka shinikizo lolote likakubalika kwa kuwa sasa ni wakati wake,
Namuona mzee wa kushughulikia watu akimshughulikia Lissu kwa mara ya pili,namuona Chairman akimuwekea kauzibe Lissu ya kugombea uraisi nakiona chama kikisambaratika kwakuwa wana kindai watajiengua baada ya kunyimwa fursa
Hongera Lissu Hard talk imekuweka juu kuliko Lowassa,
Kuliko Mbowe
Kuliko Chadema
Tulio upande wa pili tunaomba upate hiyo nafasi ili muendelee kujimaliza!
Ni sawa tu kwa Lissu kuwa maarufu kuliko Chadema.
Vipi Wasiojulikana kuwa maarufu Kuliko CCM?
CCM ƴa sasa bila Watu wasiojulikana inauwezo gani?
 
nimeshasema kwenye nyuzi zangu, 2020 chadema itapangaranyika na kuvurugika si kwa sababu wametaka bali wanachama watagawana fito za nyumba ambayo wameijenga na hapo ndipo tutapata CCM ushindi mkubwa sana. Mpaka sasa chadema hawajui ni lowassa, lissu au nyarandu kuelekea 2020
Sio ajabu sura na maumbile yako yanafanana na Wassira kwani naye alikuwa anawaza kama wewe 2013

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la makamanda wanajua interview imekuwa successful kulingana na idadi ya mishipa usoni iliyorecordiwa .hakiyanani wasipochange aina ya siasa kuna hatari ya kuwekwa vimada kwa huu ushoga unaotrend l

Hahahahaaaah... Ni sahihi kabisa, Kipindi hiki sio cha kuongea uwongo alafu wazungu wakasusikiliza moja kwa moja. vinginevyo waamue kuuza utu wao.
 
Back
Top Bottom